Juzi kati nlikuwa nakula chipsi mayai mahali flan..sasa akaja mama mmoja mtu mzima hlf mnene ambae nlifahamiana nae miez 6 tu iliopita...kuna siku moja baada ya kufahamiana nae aliniomba elf 1...
Hili suala ni la kishirikina zaidi na linatokea kwa watu wenye vinasaba vya aina moja.
Hii hutokea mzee wa kiume mwenye tamaa ya kingono na kuzaa huamua kuchukua nguvu za kiume za mwanae au...
Hakuna utamu wa mkojo kama mkojo wako ukojoe kwenye shimo la demu mkali,
Utamu wake usipime ila kuna mademu wengine bhana ata huwe na genye vipi mkojo wako unakuwa na ule Utamu wa kawaida tu...
Most African cultures, this dress code is not acceptable and more so when u meet or visit your in-laws or I front of your parents for a grown up lady like this & more so to the opposite sex...
Ni ukweli usiopingika kuwa kuna wakati katika mahusiano mnajikuta penzi lenu linanyumba pengine ni kutokana na tabia zisizovumilika za mmoja wenu, mmoja wenu kupata mtu mwingine anayeona anamfaa...
Hi imekaaje wadau?
Eti baada ya tohara (circumcision) hupaswi kufanya sex Na make wako/ mchumba wako,
Madhira yake kukidaiwa kuwa unapmfanya mkeo utasababisha yafuatayo:
1) Atakuwa Malaya...
Asalam alaykum wana JF natumai mpo wazima, nia na madhumuni ya kuanzisha hii siredi ni kwakutaka ushauri kutoka kwenu ni vipi mtu unaweza ukaishi kwa mtu mkorofi na mkaelewana?
Naombeni msaada jamani mimi nina miaka 22 Sijawahi kufanya zinaa ila nimekuwa ni muumini mkubwa mno wa hii kitu mwaka wa pili sasa nashindwa jinsi ya kuacha.
Hawa wanandoa wameoana toka 2017 kipindi hicho mapenzi yalikua mubashara, (hadi nikatamani kuolewa [emoji3])ila 2018 baada ya kubarikiwa mtoto wao wa kwanza cousin yangu akaanza kukipata cha mtema...
Kwa niaba ya wanaume wote wanaojitambua kiakili ni marufuku kutoa mahari ya aina yoyote kwa mwanamke ambaye sio bikra na wala haujamkuta bikra!
Hata kuharibu pesa kwa sababu ya ndoa ni upumbavu...
Nimemaliza degree hapo UDOM naishi na bro Dar ila kahamishiwa kikazi Dodoma kwa hiyo nimebaki na shemeji nyumbani, alinitega kwa siku nyingi na hatimaye amefanikiwa na sasa hivi imekuwa tabia kila...
Habari wanajamvi, mimi nmejiunga jf mwaka jana lakini sikua active participant sana.
Leo nimeamua nije katika hii platform ya "LOVE CONNECT" namimi nitafute mtu wa kunirudisha kwenye mstari...
Mkuu ni swala lisilopingiza kabisa kama mke uliyemuoa hukumkuta bikra maana yake alishagegedana hata kabla yako na kibaya zaidi hata hujui aligegedana na nani. Daaaah hii ni roho ngumu sana...
Katika harakati za maisha nilijikuta kwenye mahusiano na mtu ambaye nadiriki kusema tulikuwa tunasukuma tu siku ili maisha yaende. Kuna wakati fulani mambo hayakwenda sawa. Tukaanza kuachana kwa...
Kuna mzee baba apa (muhenga) nimejadiliana nae kuhusu masuala ya kuoa na haswa kwenye uchaguzi wa mwanamke.Ameshauri Ni Bora ukaoa mwanamke mnene kwa sababu asilimia 80% ya mabinti wembaba hua...
Wale mabahili lakini tunahonga tukutane hapa!
Nianze na Mimi kima cha mwisho kabisa nimeshawahi kuhonga kima cha mwisho kabisa Elfu 30tsh tena hadi Demu nimuelewe kweli kweli na lazima nimpe na...
Mke alimuaga mumewe anaenda kumsalimia mama yake mgonjwa kijijini. Akaondoka Ijumaa na kurudi Jumatatu na matunda kibao na vyakula vingine toka kijijini akisema ni mama kanipa kwa ajili yako mume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.