Shemeji yangu amenilazimisha nitoke nae na amefanikiwa

Petrol Tank

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
205
350
Nimemaliza degree hapo UDOM naishi na bro Dar ila kahamishiwa kikazi Dodoma kwa hiyo nimebaki na shemeji nyumbani, alinitega kwa siku nyingi na hatimaye amefanikiwa na sasa hivi imekuwa tabia kila siku ndo mchezo hadi sasa ana mimba.

Sijui ni ya nani maana bro huwa anakuja weekend au wakati mwingine after two weeks

NIFANYEJE wadau mana sina pa kwenda zaid ya hapa ndio kwanza ni ka mradi nimekaanzisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We sio wakupewa ushauri nasaha kabisa, kwa ushenzi uliomfanyia kaka yako aliekusitiri. Yani mtu kaamua kukusitiri usiadhirike na wala usiteseke mtaani, malipo yake unamchapia mke wake ndani ya nyumba yake (hoja ya kutegwa na shemeji yako haina mashiko).

Halafu bila aibu unaomba ushauri ili ujikomboe kwenye hilo balaa. Hebu tafakari kama WEWE ndio umefanyiwa hayo na mtu ulieamua kumhifadhi kwako????
 
Nimemaliza degree hapo UDOM naishi na bro Dar ila kahamishiwa kikazi Dodoma kwa hiyo nimebaki na shemeji nyumbani, alinitega kwa siku nyingi na hatimaye amefanikiwa na sasa hivi imekuwa tabia kila siku ndo mchezo hadi sasa ana mimba.

Sijui ni ya nani maana bro huwa anakuja weekend au wakati mwingine after two weeks

NIFANYEJE wadau mana sina pa kwenda zaid ya hapa ndio kwanza ni ka mradi nimekaanzisha?

Sent using Jamii Forums mobile app

Una umri gani??

Inaelekea ni mropokaji sana

Halafu pia inaonekana una tabia ya kujisikia

Inaelekea pia una majivuno

Halafu inaonekana wewe siyo mtunza siri

Kingine uaminifu kwako ni sifuri

Halafu inawezekana pia unadeka sana

Halafu nadhani pia wewe siyo msemakweli

In fact wewe ni mtu hatari kwa familia yako na haa jamii kwa ujumla
 
Nimemaliza degree hapo UDOM naishi na bro Dar ila kahamishiwa kikazi Dodoma kwa hiyo nimebaki na shemeji nyumbani, alinitega kwa siku nyingi na hatimaye amefanikiwa na sasa hivi imekuwa tabia kila siku ndo mchezo hadi sasa ana mimba.

Sijui ni ya nani maana bro huwa anakuja weekend au wakati mwingine after two weeks

NIFANYEJE wadau mana sina pa kwenda zaid ya hapa ndio kwanza ni ka mradi nimekaanzisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie kaka yako, shemeji kakutega nawe umeshamkula yeye anachukua uamuzi gani?
 
Nimemaliza degree hapo UDOM naishi na bro Dar ila kahamishiwa kikazi Dodoma kwa hiyo nimebaki na shemeji nyumbani, alinitega kwa siku nyingi na hatimaye amefanikiwa na sasa hivi imekuwa tabia kila siku ndo mchezo hadi sasa ana mimba.

Sijui ni ya nani maana bro huwa anakuja weekend au wakati mwingine after two weeks

NIFANYEJE wadau mana sina pa kwenda zaid ya hapa ndio kwanza ni ka mradi nimekaanzisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe una degree matope jinga sana
 
Back
Top Bottom