UTACHUKUA HATUA GANI?

UTACHUKUA HATUA GANI?

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,579
Reaction score
3,269
1126309
 
Cha kwanza sitapata usingizi.. nikipata ni nje ya NET.
Pili simu yake iwe haipatikani.. unaweza kujua haina chaji kumbe kazima tu, sasa wewe huku unatamani umrushie bando la TANESCO
 
Cha kwanza sitapata usingizi.. nikipata ni nje ya NET.
Pili simu yake iwe haipatikani.. unaweza kujua haina chaji kumbe kazima tu, sasa wewe huku unatamani umrushie bando la TANESCO
hahah mkuu, mwanamke asomeshwi........
 
hahah mkuu, mwanamke asomeshwi........
Post inaonyesha nshasomesha mkuu... Ila kweli kusomesha mwanamke bora ufate taratibu za kisheria uwachukue watoto yatima kwenye vituo uwapige tafu na Mungu atakubariki sana
 
Natafuta mwingine naanza kusomesha. Ukimsomesha mwanamke umesomesha taifa.
 
Natafuta mwingine naanza kusomesha. Ukimsomesha mwanamke umesomesha taifa.
mkuu mwanamke acha kabisa, ni mama zetu ila acha tu akili zao wanazijua wenyewe, hapo inawezekana kakutana na mwanachuo mwezake kamdanganya kakuona hufai.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom