IN NEED OF "GIRL FRIEND"

llmg600

Member
Joined
Feb 5, 2017
Messages
28
Points
45

llmg600

Member
Joined Feb 5, 2017
28 45
Habari wanajamvi, mimi nmejiunga jf mwaka jana lakini sikua active participant sana.

Leo nimeamua nije katika hii platform ya "LOVE CONNECT" namimi nitafute mtu wa kunirudisha kwenye mstari.

Umri wangu ni 25yrs, lakini nimegundu nnpoelekea pangine sio pazuri.

Kifupi ni kwamba nmejikuta nawachukia wadada & Nmekaa single 3yrs, na kwa sasa naona nnaelekea kupoteza feelings kabisa za mapenzi & napata wasiwasi na woga kwamba inawezanletea shida badae.
Nikifikiria naona chanzo ni usaliti nliofanyiwa 2016, baada kumaliza advance (ulitumika uongo mgum sana & kwa mda mrefu), ndo umenifikisha kwasabab baada ya apo skutamani tena mapenzi, nliish kwa stress had nkapata vidonda vya tumbo mwaka huo. Lakini najiuliza hivi, kwanini nmeshindwa kusahau ule mkasa??? Kwanini bado unanifuata??, nahsi labda nliingia mkataba wa mapenz bdo mdogo.

Kuna mda nligegeda dada poa mfululizo kama mwezi, nkaona uku ndo napotea zaidi, after 3months nkapima HIV nkakuta negative nkashukuru mungu nkaacha kabisa. Nyeto nliwahi kupiga pia nkaacha.

Sijafikia maamuzi & muda wa kuoa, lakini nataka nichukue hatua ya kukabiliana na hili. Xo nmekuja huku LOVE CONNECT kutafta marafiki wa kike (currently sio mke au mchumba) wataonsaidia kuvuka hii stage, lakini if condtion allows, maamuzi mengine ni yakupanga mbele ya safari. Npo morogoro, makazi ya kudumu (next two yrs) ni kahama.

Come on ladies & gentlemen. Mim naamini %kubwa humu ni watu wazima, mnishauri pia.

& kama kuna mdada humu below 25 age nakuomba PM, ata kama haupo single, bt unaezansaidia chochote.
 
Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
723
Points
250

Mastamind

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
723 250

Ukibahatika wengi naomba mmoja
 
window 7

Member
Joined
Jun 11, 2019
Messages
7
Points
45

window 7

Member
Joined Jun 11, 2019
7 45

pole san bro ila mapenz ya sas co ya kujimaliz yan kufall inshot ishi nao kwa akil xana halaf ucpend mfuatilia kikubw angalia mahusiano yako yanaend kam mzinguz piga chin vnginevo utajikut pabaya zaid,,
 
Forum statistics

Threads 1,356,660
Members 518,928
Posts 33,134,969
Top