Ushauri Tafadhali!!!

Ushauri Tafadhali!!!

12 Marook

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
441
Reaction score
331
Asalam alaykum wana JF natumai mpo wazima, nia na madhumuni ya kuanzisha hii siredi ni kwakutaka ushauri kutoka kwenu ni vipi mtu unaweza ukaishi kwa mtu mkorofi na mkaelewana?
 
Ngojea waje

Mtu wa namna gani. Mpenzi, Coworker, rafiki, Ndugu au nn
 
Jifanye kama hazikutoshi hivi kichwani..usimjali sana basi atatukia mwenyewe
 
Piga Jimu, angalia sana movie za kutisha..
 
Kila akirudi awe anakukuta unafanya mazoezi yakarate huku unaongea kichina
 
Mtu mkorofi dawa yake ni wewe kuwa kimya tuu
Kabisa...Unajuwa hakuna kitu kibaya kama ile kitu inaitwa.... PSYCHOLOGICAL TORTURE...Kukaa kimya ni sehemu ya adhabu hiyo...unateswa kisaikolojia....
 
Na ukiwa kimya sijui kama atafanya ukorofi
 
Hawezi, maana raha ya ugomvi na ukorofi ni kujibizana... akisema mshenzi, ukijibu mwenyeweee... anapata nguvu ya kutamka jingine... etc... lakini akisema mshenzi, wewe kimyaaaa... mwehu.... wewe kimyaaaaa.. fala... wewe kimyaaa.. ATAACHA TU...hakuna binadamu anayependa kusemasema peke yake... ataogopa kuonekana kichaa... hivyo atatulia tu.
 
Wewe una maakili
 
Mimi huwa sio mtu wa matusi kabisa,kuna jamaa tulizinguana..mawivu wivu

Sasa akawa akiniona,yeye ni kunitukana me huwa situkani..jibu langu lilikuwa kwamba akinigusa tu,ndo angenitambua.

So hapo solution ni kumpotezea,kumdharau,usimrudishie akitukana

Ila akikuingia mwilini,mcharaze.
 
Back
Top Bottom