Hivi ni kweli??????

Hivi ni kweli??????

senyagwa

Member
Joined
Jun 1, 2015
Posts
72
Reaction score
23
Kuna mzee baba apa (muhenga) nimejadiliana nae kuhusu masuala ya kuoa na haswa kwenye uchaguzi wa mwanamke.Ameshauri Ni Bora ukaoa mwanamke mnene kwa sababu asilimia 80% ya mabinti wembaba hua hawaridhiki kwenye tendo la ndoa lakini pia wengi sio waaminifu kwa sababu uvumilivu wao ni mdogo Jambo ambalo Ni nadra Sana kwa wanawake wanene ambao tendo la ndoa hawalichukulii maanani kwa sababu ya kutokumudu shuruba za tendo hivyo kuona km Ni karaha. Lakini pia Kwa wanawake wembamba c rahisi kuwashtukia wakitoka kuchepuka hata baada ya muda mfupi baada ya tendo la ndoa.Sasa kwenu wahenga hili likoje ??
 
Vizuri kwa kuwa umejiandaa kumtambua kwa urahisi akichepuka, kingine cha maana hakipo.
 
Huyo mnene akitoka kuchepuka unamshtukiaje??
 
Back
Top Bottom