Unajivunia jinsia yako?

Unajivunia jinsia yako?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
39,939
Reaction score
61,733
Mie najivunia kuwa mwanaume na namshukuru Mungu kwa kuniumba mwanaume;je wewe unajivunia jinsia yako?
 
Hii nayo ni thread tayari? Ooooh! Nimekumbuka kumbe Shule zimefungwa!
 
Sana, hasa nikikumbuka zile nyakati nawatembezea likamba wanatoa miguno ya haja na kuweweseka na kuniheshimu. Lakini zaidi nikidaiwa mahitaji familia na kupambana kuprovide kwaajili ya familia hapo navimba hatareee
 
ha ha ha ha ha ha
 
najivunia aisee ingawa natamanigi nipewe nafasi niwe me ili nijue utamu wa kukojoa wanajiskiaje
ha ha ha kuna mtu mmoja huko ulimwenguni aliwashtaki wazazi wake kwa nini umenizaa nikiwa hivi.....
 
ha ha ha wanaojikataa utawagundua tu,ndio maana baadhi ya wanaume wanataka kuwa wanawake
Ntaanzaje kujisifia kwa mdomo mtoto wa kiume wakati dushe langu linafanya ivo kila asubuhi
Wakujisifia na kujivunia ni mtoto wa kike maana hana kinachomjulisha jinsia yake kama ipo active
 
Ntaanzaje kujisifia kwa mdomo mtoto wa kiume wakati dushe langu linafanya ivo kila asubuhi
Wakujisifia na kujivunia ni mtoto wa kike maana hana kinachomjulisha jinsia yake kama ipo active
ha ha ha ha
 
Back
Top Bottom