Mr. JF
Member
- Dec 14, 2015
- 79
- 107
Kwa kupitia muonekano mpya wa JamiiForums tumewaona kwa urahisi vinara wa kupost JamiiForums. Hawa watu kwa kweli wanahitaji pongezi especially super woman bibi yetu @FaizaFoxy
Pia Nyani Ngabu naona amekuwa king'ang'anizi tangu enzi za mzee mwanakijiji.
Pongezi hizi ni maalum kwa kuufunga mwaka 2015.
Cheers
- Jeff Franco!!
Pia Nyani Ngabu naona amekuwa king'ang'anizi tangu enzi za mzee mwanakijiji.
Pongezi hizi ni maalum kwa kuufunga mwaka 2015.
Cheers
- Jeff Franco!!