The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
Habarini wana jamii forum.
Hivi karibuni nimekuwa Kila nikiingia jukwaa la MMU nakutana na uzi za malalamiko ya ndoa,mada zingine za ukakasi,majibu ya ukakasi ilmrad tafran.
Swali ni je ni kweli ndoa ni ngumu na zimejaa changamoto kiasi hiko?Kama ni kweli kwanini watu wanazing'ang'ania?
kwanini mwanamke usipoolewa ama ukiwa single mom unatukanwa Sana na kudhalilishwa(Kuna nyuzi nyingi kuthibitisha hilo hapa jf) ikiwa ndoa ni changamoto kama nyuzi ziletwazo hapa jukwaan zisemazo.
Jukumu la kuitunza ndoa na kuifanya paradiso ndogo ni la nani Kati ya mke na mume?
Hahahaha msichukulie serious sana ni maswali ya kuhitaj kupata ufahamu tu.