mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Nina mdogo wangu wa kike bahati mbaya tuko wawili tu wazazi walishatangulia sasa huyu mdogo wangu kumbe alipata mimba na kwa kuniogopa alijaribu kuitoa hiyo mimba sasa kama week moja hivi imepita alikuwa analalamika maumivu ya tumbo, nikampeleka hospitali kupimwa bado anaonekana ni mjamzito shida ni kwamba bado analalmika maumivu ya tumbo na kichwa
Naombeni ushauri shida itakuwa n nini?
Naombeni ushauri shida itakuwa n nini?