Mwanaume Kama Huna Wimbo wa gospel kwenye simu yako wewe sio husband material

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,628
1,786
Nyie wanawake ukitaka kujua Hali halisi ya mwenendo wa mumeo, kama ni husband material ama laa angalia kwenye simu yake kama Unakuta singeli tu na bongo fleva ama hipap jiandae kisaikolojia..

Kuna utofauti wa kimwenendo Kati ya husband material na non husband material alaf na nyie wanaume tueke hata Wimbo m1 hivi wa rose Muhando ama unatupia wa ambassadors of christ choir walau I natia Moyo..

Anaepinga hapa sio husband material wale Ma husband material lazima utawaona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na sisi tusioamini Mungu ila husband material unatuweka kundi gani?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom