Swali kwa wanaume: Utafanya nini ukimkuta ndugu yako akimpiga mke wako?

tremendous

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
3,237
5,307
Kiafrika kuishi extended family ni jambo la kawaida tu kwahiyo unaweza kuishi na baadhi ya ndugu zako kwako au kuna baadhi wanaishi makwao hata baada ya kuoa.

Lakini kama mjuavyo kuna baadhi ya jamii zinaamini mwanamke akiolewa basi ndugu wa mume wanaweza kumuadhibu huyu mke akikosea kwakuwa katolewa mahari.

Sasa wewe mwanaume ebu chukulia unatoka zako kwenye mishe zako za kusaka chapaa unafika home unamkuta ndugu yako anampiga mkeo mateke na ngumi utachukua uamuzi gani haijalishi mkeo kakosea au kaonewa na ndugu yako.

Haya mambo hutokea sana tu.

tremendous
 
Mmmh
naijatwittersavages-20190610-0001.jpeg
 
Nlishashuhudia bamkwe na mdogo wa mume anampga mke kama ivo nilishangaa sana cha ajabu mume wake hata hakumgusa kilichofauatia yule mwanamke aliondoka, kwa nnaovyoona sio sahihi hata kidogo
 
Kiafrika kuishi extended family ni jambo la kawaida tu kwahiyo unaweza kuishi na baadhi ya ndugu zako kwako au kuna baadhi wanaishi makwao hata baada ya kuoa.

Lakini kama mjuavyo kuna baadhi ya jamii zinaamini mwanamke akiolewa basi ndugu wa mume wanaweza kumuadhibu huyu mke akikosea kwakuwa katolewa mahari.

Sasa wewe mwanaume ebu chukulia unatoka zako kwenye mishe zako za kusaka chapaa unafika home unamkuta ndugu yako anampiga mkeo mateke na ngumi utachukua uamuzi gani haijalishi mkeo kakosea au kaonewa na ndugu yako.

Haya mambo hutokea sana tu.

tremendous
Hiyo ni tabia za wafugaji, huku JF hawapo sasa majibu yatakuwa sio reliable kabisa.
 
me mdogo wangu wa kiume nikiukta kamramba makofi ntaulizia kosa maana mdogo wangu ni version yangu ila umri wake ni mdogo na kama sio mdogo wangu hata kama nikimuta mjomba kampiga huyo ntauliza kwanza kwanini maana mpaka kufikia hatua ya kumpiga sio wehu huenda kawakosea heshima kipumbavu na kwa nilikotoka hakuna kudharauliana kama una kiburi onesha pembeni ila kama unaonesha laivu watachapa sana
 
Walio kulia mazingira hayo ya kifugaji wapo humu tena tabia ambayo mtu kalelewa anashuhudia ni ngumu kuacha so wapo hata humu.

Hiyo ni tabia za wafugaji, huku JF hawapo sasa majibu yatakuwa sio reliable kabisa.
 
Kwahiyo kama mkeo ndio mkosaji basi utampongeza dogo kumpa kichapo wife wako?
me mdogo wangu wa kiume nikiukta kamramba makofi ntaulizia kosa maana mdogo wangu ni version yangu ila umri wake ni mdogo na kama sio mdogo wangu hata kama nikimuta mjomba kampiga huyo ntauliza kwanza kwanini maana mpaka kufikia hatua ya kumpiga sio wehu huenda kawakosea heshima kipumbavu na kwa nilikotoka hakuna kudharauliana kama una kiburi onesha pembeni ila kama unaonesha laivu watachapa sana
 
Kiafrika kuishi extended family ni jambo la kawaida tu kwahiyo unaweza kuishi na baadhi ya ndugu zako kwako au kuna baadhi wanaishi makwao hata baada ya kuoa.

Lakini kama mjuavyo kuna baadhi ya jamii zinaamini mwanamke akiolewa basi ndugu wa mume wanaweza kumuadhibu huyu mke akikosea kwakuwa katolewa mahari.

Sasa wewe mwanaume ebu chukulia unatoka zako kwenye mishe zako za kusaka chapaa unafika home unamkuta ndugu yako anampiga mkeo mateke na ngumi utachukua uamuzi gani haijalishi mkeo kakosea au kaonewa na ndugu yako.

Haya mambo hutokea sana tu.

tremendous
Bora hata ningemfumania nae kuliko kumkuta anampiga. Mi hata cjui ntamfanyaje, ila nasisitiza bora nikimfumania kuliko hilo kosa aiseee!
 
Kiafrika kuishi extended family ni jambo la kawaida tu kwahiyo unaweza kuishi na baadhi ya ndugu zako kwako au kuna baadhi wanaishi makwao hata baada ya kuoa.

Lakini kama mjuavyo kuna baadhi ya jamii zinaamini mwanamke akiolewa basi ndugu wa mume wanaweza kumuadhibu huyu mke akikosea kwakuwa katolewa mahari.

Sasa wewe mwanaume ebu chukulia unatoka zako kwenye mishe zako za kusaka chapaa unafika home unamkuta ndugu yako anampiga mkeo mateke na ngumi utachukua uamuzi gani haijalishi mkeo kakosea au kaonewa na ndugu yako.

Haya mambo hutokea sana tu.

tremendous

Inategemea nipo wapi, Kama yupo Kwangu ndo mwisho wa yeye kukanyaga kwangu, Kama ni kwa Baba, hapo sina mamlaka.... ila Baba asiponiridhisha ndo mwisho mke wake kukanyaga hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom