Kuna dada mmoja wa kigeni alikuja mkoa ninaoishi kwa shughuli za kitalii;kwa kipindi chote alichokuwepo hapa mkoani, ninapokuwa na nafasi nilikuwa nampa kampani pamoja na tendo la utu uzima.Kwa...
Kichwa kinajieleza nmepokea swala hili kutoka kwa mdogo wangu(jinsia ke) yeye anasema nafas za jkt zilizotangazwa ,vigezo alikuwa navyo amestruggle mpaka amechaguliwa ngaz ya wilaya.
Baada ya...
Kwema wanajamii humu?
Nimeona tushauriane kdg jins ya kuishi na mwanamke tajwa hapo, utakuta jamaa anataka amuone mtoto wake, utafanyeje? Vp aje hom Kwako? Au uende muende wote na wife?
Alafu...
Ipo siku utakuja kukutana na mtu ambae atakufanya usahau maumivu yote ya mapenzi ambayo umepata kukumbana nayo.
Ambae atakufanya uwe na furaha, Ambae atakuja na kukupenda pasi na kikomo licha ya...
Wadau mimi ni mwalimu wa shule ya secondary xx. Ni shule ya bweni jinsia mchanganyiko. Sasa hivi ni likizo na watoto wamerudi nyumbani.
Juzi usiku nikapokea sms "sir habari ya likizo,nimekumic...
Mimi namuacha siku hiyohiyo mpenzi aliyewahi kushika ujauzito siwezi Kuendelea naye mwanamke yoyote ambaye kafanya mauaji sio wa kuishi naye lazima tu ile roho ya mauaji ndo Hawa Hawa wanaofurahia...
Habari zenu wana jamvi wa Jf.
Wakati nipo chuo kikuu ilitokea binti 1 wa kipemba akanizimikia lakini akawa msiri, hakuweza kuniambia hisia zake.
Kwa kweli wakati huo sikuyapa nafasi sanaa...
Wakuu kutokana na mambo nilio pitia nikahisi wanawake wote ni wale wale,
Mwakahuu nilibadili location ya maisha baada ya kuona kila kukicha khali inazidi kua mbya mbongo basi nikahamishia business...
Ukiwa kwenye urafiki na msichana au mvulana kwa muda mrefu huwa kuna hisia zinakuja za mapenzi. Ila shida huwa inaanza pale ukimwambia tu unampenda unakula na Ban kwa wale walio kutwa na hili...
Nataka nimpige chini mchepuko,nampigia simu inaita haipokelewi na mawazo yanayoniijia kichwani kwa kutokupokea simu nahisi labda ni dharau au anapigwa mashine,mbaya zaidi anaujauzito wangu na kuna...
Tulizoea kumwita Beat box kutokana na tabia yake ya kutoa milio inayofanania na mziki. Alikuwa na vipaji vingine mbali mbali kama vile kuimba, kudance, kuruka sarakasi na kuchezea vyombo vya mziki...
Habarini wanaforum wenzungu.
Kwakweli tabibu nimejikuta napata wakati mgumu sana kushughulika na huyu binti kwani usumbufu ninaoupata ni wa hali ya juu sasa takribani wiki sasa.
Ilianza...
Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa...
Mchepuko umesafiri,bi mkubwa yuko mbali,kwenda kupata moja moto moja baridi naona uvivu...nimebaki mpweke kama kifaranga cha kuku kilichoachwa na mama yake.Wanawake mna umuhimu sana katika kuleta...
Wasalaam wakuu
Natumaini mnaendelea vizuri na mapambano ya kuhakikisha maisha yanaenda saafi.. straight to the point huwa najiuliza sana Hawa watu hasa wadada wanaojiuza huwa hawana wasiwasi na...
Wasalaamu wakuu!
Katika pilika pilika za hapa na pale nilikutana na mkaka mmoja mtanashati
Wacha yule mkaka atake mazoea na mimi, alinikomalia sana aisee na kwa offer zake kiukweli ikawa ngumu...
Nyie wasichana mnaojiita wanawake mnaponunua Simu kumbuka kuwa zinatumia vocha!kama huna hata uwezo wa kujinunulia vocha kwa matumizi yenu wenyewe mnanunua ili iweje?
Tumechoka baby baby nitumie...
Habari za mida bandugu!!
Kumekuwa na wimbi la watu wengi sana hasa wafanyabiashara wa madawa (sio unga ni haya ya asili) kueneza kwa nguvu sana kuwa kuna tatizo kubwa la nguvu za kiume
Hii...
Kupenda sio jambo baya kabisa lakini kupenda msichana au mvulana kuliko unavyo jipenda ni hatari sana..Katika maisha lazima ujipende wewe kwanza na ukiamua kuwa na mahusiano penda kiasi ata...