livewise1
JF-Expert Member
- May 25, 2019
- 837
- 972
Habari zenu wana jamvi wa Jf.
Wakati nipo chuo kikuu ilitokea binti 1 wa kipemba akanizimikia lakini akawa msiri, hakuweza kuniambia hisia zake.
Kwa kweli wakati huo sikuyapa nafasi sanaa mahusiano bali nilikuwa napambana kusoma na hali yangu kiuchumi ilikuwa mbaya sana.
Baadhi ya mabinti (kama wa 4 hivi takribani) waliitumia nafasi ya mimi kutojiweza kiuchumi kama nyenzo ya kunishawishi kuwa nao karibu (kusaidiana kimasomo 1 na wa 3 kimapenzi).
Nikiri wazi yule alietaka kusaidiana masomo alifanikiwa 100% na ndie niliemuona wa maana sana (alinipa pesa kutatua shida mbili tatu na tulisoma vizuri tu)
Wale wa 3 tuliishi kisanii sanii tu mmoja akaolewa wawili wakabaki, nilikuwa nawashawishi sana kusoma lakini walionyesha kujali mapenzi zaidi.
"KUMBE MPEMBA ALIKUWA ANAJUA KILA KITU' na jambo hilo lilikuwa linamuumiza mno.
Baada ya muda alijiridhisha na kuamua kusema hisia zake kwangu. (Sikukataa wala siku kubali, nilitabasamu tu nikawaza huyu si ni wale wale.)
~Kazi ikaanza sasa, alikuwa msomi wa vitabu vingi vya ndoa...akawa ananifundisha kwa njia ya simu wakati huo mi nachukulia poa tu.
~Ikafika kipindi anataka kuowana mda huo bado tupo chuo. Moyo ulianza kumuelekea kiasi flani lakini nikasema wacha nimuone kama anaweza kuishi na mimi (philosophy za maisha ya kawaida).
~Daah...akafeli mbali sana tu, nikamwambia ukweli kwamba hapa hakuna ndoa.
"KILIO CHA MWEZI NA MASIKU MPAKA AKAWA KAMA ANAUMWA"
mi sikujali saana maana nikajua ni kasumba tu za wanawake.
Tulipomaliza chuo aliniandika SMS iliyonichosha akili.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"NAKUOMBEA UPATE MKE ATAKAE KUPENDA ZAIDI YANGU. NITAKUPENDA DAIMA HAIJALISHI UTAKUWA WAPI AU NITAKUWA WAPI. SIKU UKIWA NA HURUMA NA MIMI USIONE TABU KUNITAFUTA"
*Baada ya chuo hakuchukua muda akaolewa na walifanikiwa kupata mtoto, huko pemba.
♡MIAKA IMEPITA JUZI KANITUMIA TENA SMS KWA KIMOMBO ILA AKAMALIZIA KISWAHILI NA MANENO YALE YALE♡
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
"YOU ONCE LIVED IN MY HEART, NOBODY WOULD CHANGE THAT NOT EVEN ME. I'M MARRIED BUT YOU FIRST MARRIED ME UNCONSCIOUSLY AND NEVER TAUGHT ME TO LET YOU GO. SIKU UKIWA NA HURUMA NA MIMI USIONE TABU KUNITAFUTA"
_wana jamvi huu upendo unanichanganya ina maana nilimuonea???
☆kumbuka sikuwahi hata kumgusa/kumgegeda!!