Bado wanawake wastaarabu wapo

Bado wanawake wastaarabu wapo

kamituga

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2019
Posts
1,195
Reaction score
1,937
Wakuu kutokana na mambo nilio pitia nikahisi wanawake wote ni wale wale,
Mwakahuu nilibadili location ya maisha baada ya kuona kila kukicha khali inazidi kua mbya mbongo basi nikahamishia business zangu nchi jirani hapa Africa kwetu nyumbani.
Aisee ma binti wa huku wastaarabu ukitaka kupiga nae story anakwambia muende nyumbani kwao mambo ya kuchezeana awataki nimeshangaa Sana karibia wote na huku karibia kila siku ni ndoa tu.
 
Wanataka kuna bongo hao....halafu ktk hizi nchi jirani wanawake wengi wanapenda kuolewa na wanaume wa Tanzania. Ila hata hapa Tz wapo wengi tu.
Congo mkuu kuna jiji linaitwa Bukavu hapa karibu na Rwanda
 
Ukiwa mwanaume kutoka TZ katika ukanda wetu wa Afrika Mashariki ni kuwatafuna tu

Nyie mabint wa kibongo endeleen kuringa sisi ni sukar ya warembo A.M [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom