katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Ni hivi wadau jamii forum asilimia yao kubwa sio matapeli ila ni waongo or hawana muda.
Halafu wewe unaweka maanani kuwa mtakuwa pamoja au ni wafuture .
Sijui kwa wengine.
Ila nasema ukweli kuwa humu hakuna mtu ambaye yupo serious .
Sana sana mahusiano .
Humu nikuwachora wengine na kuwapotezea muda kabisa.
Halafu humu wengi hawana pesa .
Humu ndani wengi wao wanajiona wapo juu uhalisia hawapo juu wala kawaida sana.
Namalofa wapo wengii tu.
Ndio maaana ukisema ukweli wanakuita malaya .
Humu wapo kila aina ya watu ambao hawapo serious nani waongo sana