The Butcher
JF-Expert Member
- May 24, 2015
- 348
- 495
Wasalaam wakuu
Natumaini mnaendelea vizuri na mapambano ya kuhakikisha maisha yanaenda saafi.. straight to the point huwa najiuliza sana Hawa watu hasa wadada wanaojiuza huwa hawana wasiwasi na afya zao au vipi? Maana yeye akisikia pesa popote anakubali.. Afya zao hawana wasi wasi?? Na huu ujasiri wanautoa wapi?
Nakaribisha mjadala