Daktari wa minyoo
Senior Member
- May 15, 2019
- 117
- 115
Habarini wanaforum wenzungu.
Kwakweli tabibu nimejikuta napata wakati mgumu sana kushughulika na huyu binti kwani usumbufu ninaoupata ni wa hali ya juu sasa takribani wiki sasa.
Ilianza hivii.....
Wiki kama mbili zilizopita mbobezi katika tiba za minyoo nilikua nimetulia zangu mitaa flani hv na mwana tunapiga stori mbili tatu, mda ukapita wakatokea warembo wawili hv wakajimix ile sehem tulipokuwa tumechill. Sasa kuna mmoja akawa amenigusa sana.
Ile tunaamsha na soja wangu nikajipitisha karibia na ile meza walipokuwa wamestay nikajitambulisha [tabasamu kubwa usoni] na nikamuomba namba moja kwa moja, kwakweli kutokana na muonekano wangu ilichukua takribani 90 sekunde tayari namba ya yule mrembo ikasomeka kwny screen ya simu yangu.
Nilibahatika kuwasiliana na yule mrembo akawa dizaini amenielewa pia,
Kosa kubwa nililolifanya ni kumtamkia mapema kuwa ningependa awe mchumba wangu na ikiwezekana mke wangu. Sababu zikiwa kabila lake, dini yake pamoja future yake ipo bright sana bila kusahau mafurushi.
Takribani siku nne zikapiata tukaona sio mbaya tutest mitambo kidogo, Mwanzoni niliinjoy sana lakn kwakweli huyu mwanamke anaonekana ni mbobezi sana yani niliufukunyua mpaka nikasanda mwnyw, kesho yake akataka aulete tena nikamwambia nipo bize, akauleta tena kesho kutwa yake nikadili nao tena nikaona ss inetosha.
Kwakweli spidi ya huyu binti imenichosha mbaya yani yeye kila akipiga simu au akituma sms yani unaona anakuwa na lengo la kuja mageto tu mara amenimiss, mara anataka kuona tabasam langu mara anataka kuja tuchek movie wote.
Kwakweli naona anatumia nguvu nyingi sana kuni-impress.
Na mm naona kama nimemchoka ndani ya muda mfupi na mawazo kama yamebadilika hivi ghafla.