Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Kupenda sio jambo baya kabisa lakini kupenda msichana au mvulana kuliko unavyo jipenda ni hatari sana..Katika maisha lazima ujipende wewe kwanza na ukiamua kuwa na mahusiano penda kiasi ata ukiachwa usiwe na athali mbaya..Mtu anajiua kisa mapenzi kapenda kupita maelezo anaona hawezi kuishi bila partner wake..Kuna wasichana wamepoteza marinda kwa kuogopa akimnyima mpenzi wake ata muacha wana baki na majuto ya milele..Kuna ambao wapo jela kwa sababu ya kupenda sana kuliko wanavyo jipenda wengine wamebaki walemavu wa maisha..Penda lakini usipende kuliko unavyo jipenda