plan z
JF-Expert Member
- Jun 10, 2019
- 1,395
- 1,439
Tulizoea kumwita Beat box kutokana na tabia yake ya kutoa milio inayofanania na mziki. Alikuwa na vipaji vingine mbali mbali kama vile kuimba, kudance, kuruka sarakasi na kuchezea vyombo vya mziki na alijifunza yote hayo ili aweze kumiliki mademu mbalimbali kwani alifahamu dadaz wanapenda wenye vipaji.
Beat box aliondoka alfajiri na mapema akiwa anahama kutoka kijijini kwao kuelekea mbali kabisa na maeneo ya kwao baada ya kufumaniwa akiwa katika harakati za kula uroda na binti mmoja wa kijijini kwao. Hivyo aliamua kuhama kukwepa msala na aibu.
Alipofika kijiji cha pili Beat box alimwona msichana aliyetoka mtoni kuchota maji, Beat box hakuwa haba alimsalimu na kumsaidia kubeba ndoo ya maji huku wakipiga story za hapa na pale mpaka alipomfikisha nyumbani kwao.
Beat box alikaribishwa kiti akaketi na kuletewa bakuli lililojaa supu. Beat box akaanza kumtamani mfanyakazi huyo aliyemletea supu na kuanza kumuuliza maswali kadha wa kadha kwa lengo la kujenga mazoea naye.
Yule binti alipoona mgeni wake ameanzisha mazoea na mfanyakazi wao, alimshika mkono Beat box akaondoka naye. Beat box alipoona hakuna watu karibu alianza kumshawishi binti yule ampe uroda wakati binti huyo alipokuwa akikataa, Beat box aliamua kutumia nguvu na kusababisha binti huyo kupiga kelele, na wanakijiji waliwasili na kumtia mbaroni Beat box.
Beat box alifanikiwa kutoroka usiku wa manane katika chumba alichofungiwa na wanakijiji kwa kuruka kutokea darini hadi kudodokea nje na kuanza kuondoka kwa mwendo wa kunyata hatimaye kutimua mbio akikazana wanakijiji wasije wakamtafuta na kumdhuru.
Mwenyekiti wa kijiji aliwataarifu wanakijiji kuwa mhalifu waliyemkamata watamtumia kutunza shamba la kijiji siku zote za uhai wake, lakini chumba kilipofunguliwa hakukutwa mtu hivyo harakati za kumsaka Beat box zikaanza na hatimaye waliposhindwa kumpata waliamua kumwachia Mungu.
Beat box alikaza mwendo akapita vijiji vingi na hatimaye kuingia mjini. Alikuwa akishangaa ufahari aliokuwa anauona huko mjini, na kwa vile ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuingia mjini, alijihisi ameingia mbinguni.
Beat box alibanwa na haja ndogo hivyo aliamua kumkabidhi mkoba wake kijana aliyekuwa pembeni yake ili amshikie. Beat box aliduaa mara baada ya kugundua kijana aliyempa mkoba wake ametoweka nao, alihisi kuchanganyikiwa. Hapo ndipo kizaa zaa kilipoanzia.
Beat box aliamua kuuliza kama kuna mtu anafahamu kijana yule alipoelekea lakini hakuna mtu aliyemjali wala kumsikiliza zaidi sana aliambulia kuchekwa.
Beat box alizunguka zunguka siku nzima asijue pa kuelekea, na fedha kidogo ya matumizi aliyokuwa ameibeba ilikuwa imekwisha ibiwa na yule kijana.
Beat box uvumilivu ulipomshinda aliamua kukwapua pochi ya mama mmoja na kutimua mbio, wananchi walimkiza sana lakini Beat box alijificha chini ya gari ikawa ndio pona yake.
Baada ya siku tatu Beat box alisikia tangazo la tamasha la wasanii mbalimbali lililokuwa linakusudiwa kufanyika siku hiyo katika maeneo yale alimokuwepo, hivyo Beat box alipania kuhudhuria ili ashuhudie yatakayojiri.
Ee bwana ee Beat box aliduaa baada ya kuona watoto wakali(mademu sasa) wakija kwenye tamasha hilo, mate yalikuwa yakimdondoka kwani alishindwa kuelewa aanze kwa yupi amwache yupi.
Kwa kuwa Beat box alikuwa mpenda misifa, alienda kushika mike na kuanza kutiririka. Alifanya hivyo kwa sababu aliona totoz na alikuwa amepanga sikuhiyo achomoke na totoz wa kutosha.
Beat box alipiga mbwembwe zote hatimaye alishtukizwa akipigwa kirungu na askari aliyemtaka aondoke kwani ndo mda wa wasanii kuingia.
Beat box aliona hicho kitendo kitamwaribia cv hivyo alipanga atafanya juu chini ili awe msanii ili ale totoz kwa wingi.
Vipi wadau niwaletee mwendelezo?
Na Beat box ndo huyu hapa videoni.