Kwako Single Mother, naomba nafasi tulee huyo mtoto, nitakuwa baba bora mwenye upendo hutoamini

Joined
Nov 24, 2016
Messages
54
Likes
77
Points
25

Satisfier

Member
Joined Nov 24, 2016
54 77 25
Kilichonileta humu ni kutoa langu la moyoni kwa yeyote ambae nafsi yake itaguswa na hitaji langu. Natumaini ninayo haki kikatiba, kidini na kijamii kuchagua aina ya mwenza ambaye nafsi na moyo wangu havitakuja kupungukiwa na upendo juu yake pamoja na wote anaowaheshimu na kuwathamini katika maisha yake.

Natafuta Single Mother (mwanamke aliyezaa mtoto/watoto lakini hajaolewa: Yamkini aliolewa akatoka kweye ndoa au alizaa kabla ya kuingia kwenye ndoa.

Ieleweke kuwa mimi sina matatizo yoyote ya kiuzazi na ni mwanaume rijali mwenye heshima ndani ya jamii inayonizunguka, najitegemea na ni mlipa kodi serikalini.

Pia ieleweke kuwa ninatambua kuna sehemu za ibada, mtaani na hata kazini ambapo ningeweza kutafuta mwenza ninayemtaka, lakini JamiiForums binafsi nina iheshimu kwasababu wanachama sio maroboti, ni watu hao hao walio kwenye jamii nilizozitaja hapo juu. Kwahiyo nina imani 100% kuwa nitampata mwenza wa sifa niliyoitaja.

Mwanamke huyo nitampenda kabisa kwa hali zote bila kujali amekubali tuoane au tubaki kwenye uhusiano wa kawaida. Pia mtoto/watoto wake nitawapenda hatoamini, na wala sitakuwa na kinyongo juu ya mwenza wangu kuwasiliana na baba wa watoto (wa damu), na tutamkaribisha kuwa anakuja kuwasalimia (kama mwenzangu akitaka).

Akili yangu imejawa na mawazo safi na chanya, hivyo siamini kuhusu baba wa damu kuendeleza uhusiano wa kimapenzi wakati halei watoto, au hata kama analea (ina maana tutakuwa sasa tunasaidiana kulea), nadhani ataniheshimu mimi kama mume halali wa huyu mwanamke.

Kama ni wewe ndio mke wangu mtarajiwa (Single Mother) au kuna Single Mother unamfahamu, tafadhari njoo inbox kwa maongezi zaidi.

Asante JamiiForums.

N.B. Nadhani nimejieleza vyema na sitarajii Interview (maswali yasio na mwelekeo wa swala langu au kejeli). Ni vizuri ukaja inbox kama una hoja, unless you are a potential Single Mother unaehitaji nikufafanulie zaidi.

Asanteni.
 
GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2011
Messages
5,179
Likes
5,309
Points
280

GIUSEPPE

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2011
5,179 5,309 280
Ngoja ni ku PM namba za masingle mama wa mtaani kwetu, kuna kadada fulani hivi kana mtoto mmoja wa miaka minne, mdada bado mbichi kabisa, asipokwambia kuwa na mtoto unaweza fikiri bado ni mwana mwali, nyonyo bado imesimama powa tu, mambo ya sita anayajua kiasi si saaana, tundu linabada vizuri sana kama hajashusha vile( nimemtumia mara mbili tu)
 
Katavi

Platinum Member
Joined
Aug 31, 2009
Messages
40,029
Likes
4,517
Points
280

Katavi

Platinum Member
Joined Aug 31, 2009
40,029 4,517 280
Ngoja ni ku PM namba za masingle mama wa mtaani kwetu, kuna kadada fulani hivi kana mtoto mmoja wa miaka minne, mdada bado mbichi kabisa, asipokwambia kuwa na mtoto unaweza fikiri bado ni mwana mwali, nyonyo bado imesimama powa tu, mambo ya sita anayajua kiasi si saaana, tundu linabada vizuri sana kama hajashusha vile( nimemtumia mara mbili tu)
Huyo akishinda interview na jamaa akamuweka ndani utaendelea kumtumia wewe.!
 
Joined
Nov 24, 2016
Messages
54
Likes
77
Points
25

Satisfier

Member
Joined Nov 24, 2016
54 77 25
Ngoja ni ku PM namba za masingle mama wa mtaani kwetu, kuna kadada fulani hivi kana mtoto mmoja wa miaka minne, mdada bado mbichi kabisa, asipokwambia kuwa na mtoto unaweza fikiri bado ni mwana mwali, nyonyo bado imesimama powa tu, mambo ya sita anayajua kiasi si saaana, tundu linabada vizuri sana kama hajashusha vile( nimemtumia mara mbili tu)
Mh lakini mkuu kulikuwa hamna haja ya maelezo ya ndani kiasi hicho, japo nimekuelewa na nitashukuru sana.
 
Forum statistics

Threads 1,189,542
Members 450,716
Posts 27,639,676