Wanaume wa Dar es Salaam na Chips Mayai

viazi mbatata na mayai zina protein kwa wingi mno, nzuri kwa kuimarisha mifupa, muscles, cartilage, ngozi na damu, husaidia mno kutopata kwashakoo pia, na nyingine nyingi

hemoglobin ya damu yako inategenzwa na protein kwa zaidi ya asilimia 80%
not to mention semen (SHAHAWA) , antibodies, white blood cells ambazo ni protein made in nature

kama una swali uliza hapa nikujibu
 
Wanaume wa mikoani pale wanapodhani kula miugali migumu na miharage isiyo hata na nazi ndo uanaume!! Pesa yenyewe hadi muvune matikiti maji na maboga; pesa ya kula kiepe yai muipatie wapi? Huku Uswahili kiepe yai 3000, pesa kama hiyo huko mikoani kodi ya chumba mwezi mzima!!
 
Ok
Vipi kuhusu hii :

Kama unataka kutunza afya yako, inawezekana tayari unajua kwamba "snack foods" na "chips" vina "fat" na "calories" za kutosha, kuwa makini.

Ukizingatia wakaangaji wengi wa "chips" wanakaanga "traditional potato chips" ambapo wanapika aina ya chips zisizozingatia afya ya mlaji. Hivyo "chips" hizi zinakuwa na "fat /calories" za kutosha.
+ mayai ya kisasa = Hatari²

Hivyo, Ulaji wa chips kama hizi mara kwa mara hupelekea kuongezeka kwa uzito kupita kiasi, fetma (obesity) na magonjwa sugu.

Chips zikiliwa mara kadhaa kwa kipindi fulani wakati unatumia mlo kamili si tatizo.

Fats can affect (clog) arteries. If your arteries are clogged, let's just say that the blood flow to your sexual organs will predictably be impeded.
So, chips may affect your sexual drive.
 
mbona mihogo ya kukaanga haitajwi, ee, nazo zina fats, maandazi , vitumbua, chapati, kalimati havitajwi wakati ndio milo mahsusi sana kwa wa tz wengi mno na vyote ivyo vina mafuta ya kutosha/mengi and too bad ni vyakula vya 'wanga',
mmeikomalia 'chipsi' , kuikosoa 'chipsi' ni ulimbukeni,

kama unakosoa 'chipsi' kosoa chochote kile kilichopita katika mafuta, walaji wa mihogo ya kukaanga nao sexual drive zao zinakua affected ila hawasemwi na ndio wengi mno
 
Siyo kihivyo kama Chips Mayai ambayo hayajakauka vizuri na Tomato Sauce kwa wingi.
 
Wanaume wa mikoani pale wanapodhani kula miugali migumu na miharage isiyo hata na nazi ndo uanaume!! Pesa yenyewe hadi muvune matikiti maji na maboga; pesa ya kula kiepe yai muipatie wapi? Huku Uswahili kiepe yai 3000, pesa kama hiyo huko mikoani kodi ya chumba mwezi mzima!!
Duuuh naomba uheshimu waume zetu wa mkoan plzz
 
Hhahaa! Kumbe na wewe usingizi wako upo kwa wakulima wa magimbi :D :D :D !! Mikoani bhana, eti deal zenu wenyewe ni kilimo!! Myplusbee nimetulia tulii kwenye laptop na maisha yanaenda! Niki-feel uchovu, navuta Redbull, simple! Halafu hayo mambo mnakuja mjini na viroba vya mchele eti zawadi, hatutaki sisi; watu tunapiga Appolo Noodles, swaaaaafi!
 
Back
Top Bottom