Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hivi ikitokea mkeo ni gogo hafanyi kitu kitandani mpaka aambiwe,hajishughulishi kwa lolote lile.akiambiwa anaona ni kawaida. Yani mwanamke labda anafikiria ya kwamba kule kupenziwa tu na mumewe...
2 Reactions
41 Replies
10K Views
Omba hii kitu isikukute. Kama mlikuwa na uhusiano na mwenza wako seriously basi utajihisi umefanya upumbavu wa hali ya juu. Kwa wale walioko kwenye ndoa ndio kabisaa utajihisi kufa kufa hasa kama...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Utakuta Umelala na Mwanamke mnafanya Mapenzi yenu lakini pamoja na Yeye Mwanamke kukufanyia kila aina ya Manjonjo yake pale Kitandani bado unajikuta Bao / Goli halikupi Ushirikiano wake wa Kuja (...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Ana miaka 16 mwezi ujao anaingia 17. -Kaacha kwenda kanisani -Nimelewa kesi 2 hadi sasa za yeye kupiga watoto wa majirani -Shuleni ana akili sana ila walimu waliniambia ana kikundi chake cha...
41 Reactions
104 Replies
9K Views
Akiolewa anatulia tuliiiii! Utadhania hata siyo yeye. Mwanaume sasa! Loooh! Unakuta mkaka mtulivu ka vile ana undugu na mitume, ngoja aoe, sijui wanakutaga nini huko ambacho hawakukijua! Anaanza...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Watu humu hatujuani.watu humu tunakuja na stress zetu tunaandika tutakayo . Sasa iweje humjui mtu unaanza kumsakama kwa maneno makali ai hebu mkae mjue humu watu huja kwa strsss.tu tunamaisha yetu .
3 Reactions
8 Replies
894 Views
Waziri mwakyembe amesema Bila cheti hakuna ndoa.
3 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari Wakuu, Nmejaribu kuchunguza wadada wengi kuanzia ninaowagegeda mpaka wale ninaopishana nao njiani utakuta kachanjwa chale kama sio nyuma ya kiuno kabla ya mstari wa tako basi kwenye koo...
9 Reactions
99 Replies
11K Views
Sielewi yaani, nifundisheni kupenda. Naona nipo nipo tu ila wivu ninao. That degree ya kupenda kwamba hadi na feel eeehhh, naona kama illusion hv, eeeehhh. Ooohhh tunapendana.....lkn sioni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wajumbe habari zenu.nimekua nikichungulia kwenye forum hii kwa siku kadhaa na nimepatwa na mtikisiko wa mawazo kutokana na neno kugegeda.hivi hili neno Lina maana gani? Maana Kuna muda nahisi ni...
3 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari za Pasaka aisee? Mwenzenu nipo sitting bado natoa macho tu hapa sielewi nikalale au niendelee kuzuga kishikaji. Shemeji yenu kanipiga adhabu ya nguvu ambayo anajua vizuri lazima...
17 Reactions
301 Replies
48K Views
Salaam wakuu? leo nilikua napita kwenye mitaa ya Bonyokwa, nje ya nyumba moja kulikua kumejaa watu wanamshambulia mwizi, bila shaka kila mmoja wetu hapa kipigo cha mwizi anakifaham, kwa bahati...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Habari wakuu, Twende kwenye mada... Husika na kichwa cha habari hapo juu, Ni kwamba nimekuwa nikiangalia namna ambavyo vijana wa kiume wa sasa na nimekuwa nikijiuliza maswali mengi... Utakuta...
8 Reactions
57 Replies
5K Views
Bye bye mmu bye bye chit-chat Tukutane Great Thinker na kwengineko. By Saint Suriya
1 Reactions
9 Replies
1K Views
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimempata yule mwanaume wa ndoto zangu. Kweli hajaoa na yuko serious anataka kunioa. Sharti Lake ni kuwa kikatikie kwanza. Hivi mtu wa kulipa masharti anakupenda kweli?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu, naombeni kuuliza, hivi inakuwaje mpaka mtu kufikia hatua ya kutangaza anatafuta mchumba, mke, mume(rare) mtandaoni, hii ina maana gani? kwa wale mliotangaza mkafanikiwa naombeni ushuhuda...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Hivi kwa mtazamo wako tu, unamchukuliaje demu ambaye ana tabia kami hizi na anadai anakupenda kwa dhati na ukimwambia ajirekebishe anaomba msamaha na kuahidi harudii tena ila baada ya muda...
4 Reactions
66 Replies
8K Views
Jana sina ramani nimetulia zangu maskan, nikasema ngoja niende kwa mwanangu zizzou kipande cha 88 stand Dom, jamaa anaoneshaga movie, charging na vifaa vya simu kuuza, nikachukua zangu boxer ya...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
Nimeumia sana. Sijawahi kumpiga mtoto wangu ila aliniudhi nikajikuta nampiga kibao. Nimelia mimi, inauma sana. Sijui wengine mnawezaje ila naumia sana. Wanawake ni wa kuheshimu sana maanamimi...
5 Reactions
88 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…