Nina Mali, Pesa, na Afya Njema: Wasichana Warembo Tanzania Wa Kuoa Wapo Kweli? Miaka 7 nimetafuta bila mafanikio

DLRider

Senior Member
Mar 5, 2019
134
143
Hello everyone,
Mimi ni new member hapa. Nafurahi kujiunga nanyi. Ni Mtanzania japo nimeishi Ulaya tokea nikiwa mdogo na nina residence ya Ulaya na ya Tanzania pia. Nilikuwa na mchumba mzungu, ila tulishindwana sababu ya cultural differences. Nikaamua kutafuta msichana Tanzania wa kuoa. Miaka 7 sasa, sijafanikiwa. Nimepata wasichana watatu, lakini kila nikisafiri kwenda nje, anacheat huku nyuma na evidence ziko. Kwangu cheating is a deal breaker. Napenda wasichana warembo sababu sitaki kuwa na mke asiyenipendezesha macho hadi nikajisikia kulala na mwingine nje ya ndoa. Nina pesa, biashara tanzania, nyumba, na pia Ulaya nina investments. In short, I am a very wealthy man, but I have had no luck at all with love. Naombeni ushauri my brothers and sisters. Umri unaenda, na nahitaji ufumbuzi wa hili.
 
Jitafakari kama wewe ni husband material kwanza......usituchoshee dada zetu bure.
First of all, niko tayari kuoa na napenda sana watoto na mimi sicheat kwa mtu niko naye kwa relationship. Also, I never ever hit or abuse a woman kabisa manake kumpiga au kumfanyia abuse. Tena nashangaa wanaume wanaofanya hivyo. Sababu nimekulia Ulaya, nimechukua traditions za kule ambapo women are queens and princesses. Ninatreat msichana niko naye kwa love na heshima na zawadi na mahitaji nampa. Shida hawanifanyii kama vile nawatendea. Mimi sihitaji mengi toka kwake. Nahitaji ukweli na uaminifu. Sasa hapo ndio watatu niliokuwa nao wameshindwa.
 
Kama kweli ni mwanaume unahitaji mke njoo kwangu ila kama ni mbabaishaji niache tu
My dear - mambo ya relationship hayaendi hivyo. Hauwezi sema njoo kwangu tu nikaja. I have to fall in love with you first, au to be specific niseme I have to like you first. I also have to trust you first, and we have to be friends first. Thanks for the offer, but I will have to decline it.
 
You’re not serious! Seven years you’re looking for wife material and the result so far is NEHI!?

😳😳😳😳Hello everyone,
Mimi ni new member hapa. Nafurahi kujiunga nanyi. Ni Mtanzania japo nimeishi Ulaya tokea nikiwa mdogo na nina residence ya Ulaya na ya Tanzania pia. Nilikuwa na mchumba mzungu, ila tulishindwana sababu ya cultural differences. Nikaamua kutafuta msichana Tanzania wa kuoa. Miaka 7 sasa, sijafanikiwa. Nimepata wasichana watatu, lakini kila nikisafiri kwenda nje, anacheat huku nyuma na evidence ziko. Kwangu cheating is a deal breaker. Napenda wasichana warembo sababu sitaki kuwa na mke asiyenipendezesha macho hadi nikajisikia kulala na mwingine nje ya ndoa. Nina pesa, biashara tanzania, nyumba, na pia Ulaya nina investments. In short, I am a very wealthy man, but I have had no luck at all with love. Naombeni ushauri my brothers and sisters. Umri unaenda, na nahitaji ufumbuzi wa hili.
 
You’re not serious! Seven years you’re looking for wife material and the result so far is NEHI!?

😳😳😳😳
I ask myself, what am I so unlucky? The 3 girls with whom I have been involved with are very beautiful, and a lot of guys in Tanzania appreciate them. Therefore, they get a lot of hits, but why can't they say no when I travel abroad? Mbona wazungu wao wanakuwa waaminifu? Na huwa naenda kwa wiki chache tu kuangalia my investments huko.
 
Utakua una kibamia kama wavulana wenzako wa mikoani, wanawake wabongo wanavyopenda mserereko ungekua umekwishaoa wa-4 Kama wewe ni muislam
Kuwapata sio shida. Nawapata sana, na wengine nimewakataa. Lakini nikishapata yule sasa roho imependa, hadi nasema huyu ndio will be wifey, always mambo yanavurugika. SIWEZI KUOA WAWILI KAMA HATA HUYO MMOJA ALIYETULIA SIJAWEZA BADO.
 
Hello everyone,
Mimi ni new member hapa. Nafurahi kujiunga nanyi. Ni Mtanzania japo nimeishi Ulaya tokea nikiwa mdogo na nina residence ya Ulaya na ya Tanzania pia. Nilikuwa na mchumba mzungu, ila tulishindwana sababu ya cultural differences. Nikaamua kutafuta msichana Tanzania wa kuoa. Miaka 7 sasa, sijafanikiwa. Nimepata wasichana watatu, lakini kila nikisafiri kwenda nje, anacheat huku nyuma na evidence ziko. Kwangu cheating is a deal breaker. Napenda wasichana warembo sababu sitaki kuwa na mke asiyenipendezesha macho hadi nikajisikia kulala na mwingine nje ya ndoa. Nina pesa, biashara tanzania, nyumba, na pia Ulaya nina investments. In short, I am a very wealthy man, but I have had no luck at all with love. Naombeni ushauri my brothers and sisters. Umri unaenda, na nahitaji ufumbuzi wa hili.
Ulaya sio nchi... oa mmasai
 
Naomba kazi ya kua mlinzi wako.
Hehehe. Walinzi wapo kaka. Lakini kama kampuni ina job opportunity, will make sure kuiweka hapa kwa wana jumuiya. Mara yangu ya kwanza kuwa kwa jamii forums, na nimeipenda sana.
 
Hello everyone,
Mimi ni new member hapa. Nafurahi kujiunga nanyi. Ni Mtanzania japo nimeishi Ulaya tokea nikiwa mdogo na nina residence ya Ulaya na ya Tanzania pia. Nilikuwa na mchumba mzungu, ila tulishindwana sababu ya cultural differences. Nikaamua kutafuta msichana Tanzania wa kuoa. Miaka 7 sasa, sijafanikiwa. Nimepata wasichana watatu, lakini kila nikisafiri kwenda nje, anacheat huku nyuma na evidence ziko. Kwangu cheating is a deal breaker. Napenda wasichana warembo sababu sitaki kuwa na mke asiyenipendezesha macho hadi nikajisikia kulala na mwingine nje ya ndoa. Nina pesa, biashara tanzania, nyumba, na pia Ulaya nina investments. In short, I am a very wealthy man, but I have had no luck at all with love. Naombeni ushauri my brothers and sisters. Umri unaenda, na nahitaji ufumbuzi wa hili.
"IF YOU FIND A GOOD WIFE MARRY HER, DONT WAIT, IF NOT JUST BE A PHILOSOPHER" MARRIAGE OR RELATIONSHIP ISNT FOR EVERYONE. ITS NEEDS WISDOM, SKILLS AND KNOWLEDGE TO IDENTIFY A PERSON WHO YOU CAN TOLERATE HIS/HER WEAKNESSES NOT FINDING A PERFECT PERSON COZ THE PERFECT ONE YOU WANT IS 'IMAGINARY".
 
Ulaya sio nchi... oa mmasai
Of course sio nchi kaka. Europe is a continent with many countries including the 22 that form the European union, Scandinavian countries, Russia etc. Nimegeneralize tu sababu kwa sasa sitaki sana kutaja nchi husika. That is for privacy reason. Just know kwamba I have roots outside Tanzania in a well-developed country.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom