Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

Najisikia vibaya kutembea na mke wangu.

Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni dhambi kwa broke guy kuwa na mwanamke mzuri?
Mruhusu atembee na mimi mkuu
 
Kama tunasafari ya pamoja inabidi mmoja wetu atangulie.. Kwa sababu tukiongozana pamoja watu wanamshangaa sana na wengine wamefikia hadi hatua ya kuniambia kuwa siendani na mke wangu.. Kwani ni dhambi kwa broke guy kuwa na mwanamke mzuri?
Wewe ni wa hovyo .
Mwambie mkeo ili aamue, uone kama utafurahi .
 
Back
Top Bottom