Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,577
- 29,499
Habarini Wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada, Speaking honestly kwa ninayoyaona na kuyasoma kuhusu Ndoa yananikatisha tamaa na kunifanya niwe negative minded though we all know kwamba ndoa ni jambo jema ila kwa yanayondelea sijui km tutapona,
Kuna siku uzalendo ukanishinda tulikuwa tunaongea mazungumzo ya kawaida na Baba and I told him naiogopa mno ndoa japo ni kwa kuiskia tu story zake...
Akanitazama then akanijibu tu "Mwanangu kwenye Ndoa kuna uvumilivu wenye mwisho na uvumilivu usio na mwisho"..!! Nikamdadisi ila hakunijibu direct alichokimaanisha akanieleza ipo siku nitakuja kuelewa maana yake..!
So please, kwa wenye uzoefu at least naombeni mnipe mwanga nini hasa Baba Yangu alikimaanisha..!!