Diason David
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 7,556
- 7,385
Najitabiria kuwa sito oa wala kuishi na side chick au main chick kwa namna yeyote katika utafutaji wangu wa harakati za hapa na pale na mahusiano niliyo yapitia kama members wezangu si ta wahi amini mwanamke katika swala la mahusiano mpaka kiama changu kwanini huwa hawapendi kusema ukweli unatumia gharama mwisho siku unakuja kugundua mkwe wa mtu na ana mtoto kabisa kitu ambacho nilisha hapa kuwa siwezi kuwa mchepuko wa mtu nafikiri ni heri ni ishi ku uhuru nikitaka natafuta wa muda namaliza shida zangu hawa viumbe ni bure kabisa Mungu anaisamehe kabisa
Povu luksa ila ukweli lazima usemwe mbona kama wazazi wetu wanayotuambia ni tofauti na tuonavyo najiona nitakuja kuwa mtu wa tofauti na wengine wacha niishi yale maisha ninayo penda kulala navyotaka muda na kusafiri pembe zote mwa dunia ni kusubiri kiama tu.