Kwa mfano unaanzaje kumnunulia Demu zawadi!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Jambo unalichukulia vipi wadau kuanza kumnunulia demu vi zawadi vya hapa na pale kabla hata hajakukubali kuwa boyfriend wake!?
Kwangu Mimi no cent hadi kieleweke!
Je?wewe unaweza?
 
Inashauriwa hivyo. Washauri wazuri wanasema hata mchumba, ukitoa zawadi siku mkimwagana hakuna kujutia vizawadi vyako. Lakini kuna watu wanasomesha wachumba/ma girlfriend kama yule mkenya, ikapelekea hadi mauaji
 
Namaanisha kumpa Demu zawadi wakati bado unamtongoza na bado hajakubali
 
Hela nazo ni zawadi? mimi hupendelea kutoa hela kwavile siku tukimwagana sitajutoa kabisa.
Najua kutoa hela hakuumizi sana kama kutoa kitu kama simu ambayo inatumika kuwasiliana na wanaume wengine kwa nguvu zangu.
 
Kama ni mbail pole . Si wote wabahili kama ww. Sio mbaya kumnunulia mpenz wako zawadi. Ni kupnyesha jinsi gani una mjali
Jambo unalichukulia vipi wadau kuanza kumnunulia demu vi zawadi vya hapa na pale kabla hata hajakukubali kuwa boyfriend wake!?
Kwangu Mimi no cent hadi kieleweke!
Je?wewe unaweza?
 
Hebu tupeni zawadi hasa hela acheni maneno mengi!!!
 
Ni wivu tu

Back
Top Bottom