Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,610
- 2,255
Hivi ni kwanini akina dada hawapendi kutusifia sisi wanaume!?kwani sisi wanaume sio wazuri?hatunamvuto? hawatupendi? hivi ni kweli mwanaume anaestahili sifa kwa mwanamke ni mwenye pesa tu, !? Sisi wanaume kila kukicha tunawasifia wanawake jinsi walivyoumbika,wanavyojiremba ,wanavyotuvutia na sifa nyingine tele. nikawaida kumsikia mwanaume akisema"mdada ameumbika yule, angalia alivyo na wowowo au msambwanda, mwangalie yule, kiuno kama nyigu, cheki mtoto guu la bia, hatuna choyo kabisa, hata pesa sisi wanaume ndio watoaji. lakini kina dada mmmmh!