Mango juice
JF-Expert Member
- Feb 25, 2019
- 345
- 469
Ndugu wanajamvi nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi katika jukwa letu pendwa la nimegundua kuwa Me wengi wamekuwa wakilalamika suala la kukutana na Wanawake wenyewe tatizo la Kunuka" K" nikaonelea niandike uzi ili kuwapa ushauri ili kuweza kutatua tatizo hili
Kwanza ningependa ifahamike kuwa kunuka Papuchi sio kilema au ugonjwa sugu usiotibika La Hasha sivo hivyo bali jambo hili linaweza kuepukwa kwa kufanya yafuatayo
1.Hakikisha Mwanamke pindi unapoenda kujisaidia unatumia maji ya kutosha imma iwe unajidsidia haja kubwa au ndogo. Kumekuwa na mazoea mengi kwa Wanawake wengi kutumia Tissue au Toilet paper Wakati wa kukidhi haja zao hupelekea mabaki ya matone ya mkojo na chembechembe za kinyesi mwisho wa siku inapelekea harufu mbaya na nzito pindi wanapovuliwa pichu au tayti zao
2..Hakikisha pindi unapomaliza Ada yako ya kile mwezi (Period) unaoga na kujisafisha vizuri ukeni na uhakikishe hakuna mabaki mabaki ya hedhi vilevile inashauriwa ukimaliza kujisafisha ukeni usitosheke kama utaweza chukua kipande kidogo cha barafu kiingize ukeni kiyayuke na uchafu hii itakusadia kuondoa uroto na mabaki yote ya damu chafu ukeni
3.Jenga Mazoea ya kujifikiza na Mafusho. Wanawake wengi wa ukanda wa pwani waliofundwa wakafundika wanapenda kujifukiza Mafusho kama udi au kujipaka White misk ukeni hii inasaidia sana kuondosha harufu mbaya ukeni na udi au mafuta ya misk ni vizuri kama utapata kutoka Mombasa au Zanzibar ndio maana Wanawake wa pwani wengi wao hawanaga matatizo ya kunuka K isipokuwa wachache sana wenye hulka ya uchafu
Zingatieni haya Wanawake hamtakuja kuteseka tena na tatizo la kunuka " K "