Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 745
- 1,504
Mke huyo pichani ameripotiwa kumchoma visu mumewe huyo na kujaribu kumuwekea sumu Kwenye chakula Ili apate nafasi ya kutanua na wanaume wengine nje ya ndoa !
_
Mrembo huyo Kwa jina la Hannan amedai alikuwa akijiokoa na ugomvi, ila mume wake huyo Kwa jina la Saheed Hussein baada ya kutoka hospital alikokuwa amelazwa Kwa takribani wiki mbili amekana mbele ya media za Naija akieleza kuwa ushahidi anao kwakuwa nyumba Yao ina cctv camera.
_
Mume amesema kulitokea kutokuelewana baada ya kugundua mkewe huyo ni mcharuko ana wanaume wengine nje. Mume amesema Siku ya tukio alimkuta mkewe akicheza kihasarahasara kisha kujirekodi video na kuwatumia wanaume wake, ambapo mmoja wapo alishamuingiza ndani kabisa. Pia amesema mkewe anatumia madawa ya kulevya lakini Pia mama wa mwanamke huyo ndie amemlazimisha kumuoa bila binti kumpenda wakidhani angempenda ndani ya ndoa
_
Mume ana video za ovyo za mkewe huyo takribani 30 ambazo alijirekodi kutumia wanaume wake, Mume alipochukua simu ya mkewe Na kujionea yote ndipo mke akamvaa Mume Kwa visu. Mmoja wa mahawara zake alipoulizwa na mume huyo kisa cha kuingilia ndoa yake amemjibu kuwa hakujua Hannan ameolewa kwakuwa hakumwambia. Kwenye kikao cha usuluhishi mke alikiri kuchepuka na kula poda mbele ya mama yake Na Mzee mtu Mzima anayeheshimika Kwa mujibu wa mume huyo ushahidi wote anao
_
Mume amesema kabla, alimueleza mama mkwe wake kuhusu tabia za binti yake, lakini mama huyo akamwambia usije ukamwambia bibi mtu wala dada yake Mrembo huyo,
_
pamoja Na hayo huyo binti mwenyewe sasa anadaiwa kusoma degree ya sheria !!!
Source: EAR