Kwanini imezoeleka kuwa katika couple nyingi mwanaume kuwa mrefu kwa kimo kuliko mwanamke?

Emery Paper

JF-Expert Member
Jun 1, 2019
1,429
2,713
Habari za asubuhi wakuu!

Kama heading inavyojieleza hapo juu, katika tathmini yangu ya muda mrefu kila couple/wapenzi nnaokutana nao au nnaowafahamu ni nadra sana tena sana kukuta mwanamke ni mrefu zaidi kumzidi mwanaume.
Swali langu ni kwa nini wanaume hatupendi wanawake waliotuzidi kimo na wanawake hawapendi wanaume waliowazidi kimo ?
1114910
 
Wanaume warefu huwa wanapenda wanawake wafupi ili ku-balance uzao wao wawe warefu wastani.
Mf. Chukulia Peter Clouch (mchezaji ) amuoe binti Kagame, huo uzao wao utakuwa mangongoti.

Pia kwa wafupi ni hivyo.
Nimewahi mwanaume mfupi alioa mke mfupi, Yaani watoto wao ni wafupi wafupi mno.
 
mwanamke hatakiwi kukuzidi kitu chochote
ili ndoa iwe inakalika hata kidogo

kuna mwanamke alimtafutia sababu mumewe
akamwambia mwanaume gani una mapengo yaani katafuta vyote alivyomzidi akakosa akahamia kwenye meno

sasa hivi nimeogopa kung'oa meno
 
Huyo bila shaka alikuwa anamtafutia tu sababu huyo mwanaume ili waachane. Maana kitu cha kwanza kakiona walipokutana ni hayo mapengo

mwanamke hatakiwi kukuzidi kitu chochote
ili ndoa iwe inakalika hata kidogo

kuna mwanamke alimtafutia sababu mumewe
akamwambia mwanaume gani una mapengo yaani katafuta vyote alivyomzidi akakosa akahamia kwenye meno

sasa hivi nimeogopa kung'oa meno
 
Habari za asubuhi wakuu!
Kama heading inavyojieleza hapo juu, katika tathmini yangu ya muda mrefu kila couple/wapenzi nnaokutana nao au nnaowafahamu ni nadra sana tena sana kukuta mwanamke ni mrefu zaidi kumzidi mwanaume.
Swali langu ni kwa nini wanaume hatupendi wanawake waliotuzidi kimo na wanawake hawapendi wanaume waliowazidi kimo ? View attachment 1114910
mwanamke urefu wake uishie kifuani kwako au shingoni zaidi ya hapo hatonoga
 
Mie napenda mwanamke alienizidi urefu.
Ili nimkamatie vizuri kiunoni inabidi niwe shorter kidogo. Otherwise avae high heels.
 
mwanamke hatakiwi kukuzidi kitu chochote
ili ndoa iwe inakalika hata kidogo

kuna mwanamke alimtafutia sababu mumewe
akamwambia mwanaume gani una mapengo yaani katafuta vyote alivyomzidi akakosa akahamia kwenye meno

sasa hivi nimeogopa kung'oa meno

huyu alizamilia kabisa
 
Kumbe it is a psychological thing. Lakini same applies kwenu nyinyi pia, kabla haujamkubalia mwanaume kuwa mpenzi wako moja kati ya vitu mnavyoangalia huwa ni urefu

Wanaume wengi wana inferiority complex na fragile masculinity.
Ndo maana mwanamke akimzidi kidogo urefu anajiona ana kasoro.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom