Ushauri: Nataka kumuoa ila tunajuana na mama yake

maiko salumu

Member
Jan 15, 2017
94
54
Wakuu,

Nimetokea kumpenda msichana kwa sasa yupo Dar ila nawaza kumuoa ila nahofia mama yake tunajuana tena vizuri lakini hamna undugu.

Nifanyeje nifanikishe?
 
Mwanaume hashindwi kutoa kilicho moyoni na kumueleza mwanamke aliezigusa hisia zake.


Ndukiiiii
 
Hah hah haa...malizia elimu yako ya msingi,kisha secondary.Baada ya hapo ishu ndogo kama hiyo utaweza kusolve mwenyew
Atachelewa aongee na Daudi Bashite akupe mbinu ununue cheti hadi umalize atakuwa ameolewa
 
Vijana wa mikoani mna shida,sasa kutongoza hamjui mnakuja kulia hapa JF na kama yuko Dar kijana wa mkoani sahau. Huku lazima aliwe papuchi kisha atasahau na hawezi rudi tena.
 
Sasa unaogopa nn,tena b mkubwa ndo atafurah,ukizubaa tu namfata mana namfaham
 
Unaetaka kumuoa n yy au n
Mama yake??

Tuanzie hapo first??
 
Back
Top Bottom