Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,883
- 61,610
Kutokana na changamoto za maisha au ugumu wa utafutaji,imepelekea mapenzi ya kweli kupotea.Unaweza kufikiri unapendwa kweli,kumbe unapendwa kwa sababu unalipa bill.Swali la kujiuliza,pale utakaposhindwa kulipa bill itakuwaje?Tuwe makini katika kutafuta wapenzi....