Habari zenu wanajamvi, nina rafiki yangu ana boyfrend wake, hawajafika stage yyte ya ndoa ndio wana mpango wa kutambulishana hivi karibuni ila kinachomtatiza bi dada ni mipango ya huyu kijana...
Yan mwanaume mwenzio anaweka Uzi wake anatafuta maybe rafiki ...chakushangaza wanaoponda n wanaume pia tena mshaanza kutumia viwembe...
...nlitegemea kuona wanawake wakikoment na hata kama n...
Habari wana Jamvi, Asalam Aleykum, Bwana ni mwema, Tumsifu yesu kristu
Napenda kuleta kwenu uzi huu ili mnaotafuta wachumba humu na wachumba mbaotafutwa mlifahamu mapema hili.
IKO HIVI...
Naanza na wakina dada
1. Kama bado una rangi ya asili hususani nyeusi usikubali kujichubua, usikubali kabisa maana ipo siku utagundua umeiondoa rangi iliyokufaa sana lakini hutaweza kuwa nayo...
Huyu demu simuelewi kila nikiwa nambandua analalamika jicho linamuwasha anataka nimkune ,nikamwambia twende hospitali ya macho tukacheki tatizo ananuna na akasema hanitaki tena kwa sababu sio...
Kama kichwa cha habari hapo juu.
Nimekuwa katika mahusiano na binti fulani toka mkoa flani hivi takribani mwaka wa pili sasa. Toka akiwa form three tulianza mahusiano japo hatukuweza kuonana mara...
Hello guys
Kuna mdada mmoja nilimtongoza, akacheka kidogo hlf akaniambia kuwa atanipa jibu, kweli siku chache baadae nlivomfuata akaniambia kuwa amekubali..na sikutumia pesa yoyote /au...
1,Umri wa miaka 18 hadi 21,huwa hawapendi ngono,wanapenda mahusiano au mapenzi ambayo ngono huchukua nafasi ndogo sana
2,Umri wa miaka 22 hadi 29,hupenda waolewe,wanapenda waishi kwenye mahusiano...
First nawasalimu woote wana JF NIkiwa Kati ya member wakongwe humu ninapenda kutoa shuhuda tatu Ambazo kama sio Mungu naamini ningekua nimekufa...
1) Nilikua form five 1999 dada mmoja akatokea...
Nothing is so complicated and more confusing as when the time of looking for a wife material comes especially in this century where every woman you see is cute and beautiful. To consider that...
Zijue sababu sugu zinazochangia kuachwa mara kwa mara.
Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini kila siku wewe umekuwa ni mtu wa kuachwa na kila mpenzi unayempata?
UBABE WAKO
Ubabe ni chanzo...
Baada ya shughuli zangu za siku nzima kuna wakati mmoja nikaingia mtandaoni niperuzi kidogo na nipate dondoo kadhaa za siku nzima, hamadi! nikakutana na channeli ya Ebru TV Kenya, sijui ni kitu...
Katika maisha ya kawaida, kissing hufanyika baina ya watu wenye hisia za mapenzi aidha ya kaka na dada, mzazi na mwanae au rafiki kwa rafiki.
Mtu anaweza kupewa kiss maeneo tofauti tofauti kama...
Salamu kwenu wana JF wote.
Katika maisha ya kila siku tukiwa kama Binadamu tunakutana na changamoto nyingi. Miaka kama 8 iliyopita kuna ugomvi ulitokea kati yangu na Wifi yangu yaani Mke wa Kaka...
SIMU/WHATSAPP 0768571786
Ilipoishia..
kila mtu chuoni alijua kua nilikua nikimpenda Leyra hata yeye mwenyewe alijua hilo kwa sababu kila mtu alisema tunapendezana kama tungekua pamoja.
Songa...
Even if you are married to the best spouse in the whole world, if you do not guard your heart, you may end up "falling in love" with someone aside your spouse and eventually ruin your marriage you...
Tukiwa tunaelekea kupita geti la pili ilitokea gari la Landcruiser ambapo walishuka watu wakatuzunguka. Baada ya kutuzunguka tukapeana ishara kwa sura zetu tukawakimbia na kuelekea vichakani...
KWA WENYE KIU YA KUOLEWA
Nikusaidie tu bure labda itakuponya kama wewe sio sikio la kufa. Kamwe usijitegeshe au kujinasisha mimba ili kumshika au kumlazimisha au kumkamata mwanaume unayemtaka...