Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
First nawasalimu woote wana JF NIkiwa Kati ya member wakongwe humu ninapenda kutoa shuhuda tatu Ambazo kama sio Mungu naamini ningekua nimekufa...
1) Nilikua form five 1999 dada mmoja akatokea kunipenda kweli kweli na kuniganda alikua amenizidi umri kwa kama miaka 7 hivi.. nakumbuka tulikwenda hadi home chimbani kwangu mara kadhaa lkn nilishindwa kufanya nae chochote nakumbuka hadi marafiki zangu waliniambia jogoo hapandi mtungi. Mmoja Kati ya rafiki yangu akanizunguuka akalamba. (Amefariki mwaka Jana mwezi wa nne.) kutokana na kunizunguuka yule rafiki yangu tukaachana na yule dada. Nilikuja kugundua baada ya miezi kadhaa kua yule dada alikua na virusi..
2) alikua ni mke wa mtu mama wa mtoto mmoja mmewe alikua boss TRA 2004. Nilimtongoza akakubali kila kitu enzi hizo damu inachemka haswa nimekula sana hela zake yule mama ila kila
Nikimwambia nile mzigo hataki. Nakumbuka sikumoja alinipeleka kwake baada ya fore play kama nusu saa akaniambia kalete condom sikua nayoakaniambia nakupenda wewe bado mdogo sitaki kukuua bure. Ile kauli dushelele ilisinyaa ghafra Nikawa mpore.. tulivaa nguo ndio akanipa story ilikuaje mumewe alimuambukizwa na dada moja la kitanga.. tulibakia marafiki tu.
3) msichana mmoja kazini dada mmoja anatokea Arusha mzuri sana watu wapi kua wanajigonga sana na alikua na msimamo hatari lkn kidume nilimpa soma akaelewa kila tukipanga kula tunda a hadi inakufa siku moja nikaenda kwake bahati marafiki zake wakaja ikabidi nikakae chumbani niwapishe sitting roomkwenda chumbani nikaziona dawa ARV.. kumuuliza baadae akaniambia ni story ndefu.. ukweli sikurudi tena.. ule ujana wa mikimiki nimeupita salama bila
Maradhi nashukuru mungu japo Nina watoto watatu wote mama tofauti. Nawashauri vijana kuweni waangalifu Ukimwi upo na unaua.. THE END