Mtoto wa single akinikumbatia anapigwa shoti

Mtoto wa single akinikumbatia anapigwa shoti

Joined
May 22, 2026
Posts
50
Reaction score
103
Nimeoa single maza sasa kuna huyu mtoto wake mpaka imefikia sehemu ananiogopa kunikumbatia na kunishika mkono. Maana anapigwa shoti. Wadau nini sababu ya hili.
Karibuni
 
Shule zimefunguliwa muda mrefu sasa sijui hizi mada za ajabu ajabu zinatoka wapi tena.
 
Mkuu....
Minaona, tayari umeanza kujenga chuki kwa huyo mtoto.
Tayari umeanza kua na negative mind kwa huyo mtoto.
Kimsingi, sioni kama unaupendo na huyo mtoto.
Nashauri kwamba, kabla ya mambo kuwa mengi nibora uachane na mama wa huyo mtoto.
 
Nina haraka sana ila Bila shaka wewe utakuwa ni new member.

Mental health
JF VAR CHECK


 
JF VAR CHECK


Asante sana kwa uchambuzi yakinifu.
 
Yalimfanya shekilango mpaka leo ndio maana yamemkuta urafiki japo wote wapo njia morogoro road
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom