Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Hakika baada ya drama alizoleta zari kwenye Mashindano ya Umiss kule uganda sasa naamini mwanamke anahitaji Ndoa sana kuliko Vyote... Kimsingi wanaume huwa tunatimiza ndoto za wanawake tunapofunga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Niliwahi kuandika uzi wangu wa kutafuta mwenza humu ndani, katika wengi waliokuja nikabahatika kupata kijana mmoja aliyeukuna moyo wangu,nikaona nijaribu mahusiano naye sikutaka kujiachia mazima...
3 Reactions
123 Replies
9K Views
Story
9 Reactions
80 Replies
9K Views
Wanaume wa siku hizi wamekuja na mbinu mpya ili aendelee kula mzigo kiulaini bila stress za hela Wakishakutongoza,anaingiza ishu ya kukuoa,ili usiwe unamuomba hela mara kwa mara ,au ukimuomba...
14 Reactions
90 Replies
6K Views
Wakuu nawasalimu wote,kama kijana nmeona nishee nanyi mambo muhimu ya ujanani,nmekuwa nikishiriki ngono zembe mara nyingi sana kiukwel yaan namaanisha kufanya ngono bila kinga,lkn hv karibuni...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
hasa pale upo na mkeo au mumeo mnaangalia habari yenye visa na mikasa vya kutisha juu ya wanaondoa kupelekea hata kuuana kwa ukatili chanzo wivu wa kimapenzi iwe wa ukweli ama wa kuhisiana...
0 Reactions
6 Replies
708 Views
Ukimpenda na kumjali sana mpenzi wako Mungu anakubariki anakupa na mwingine! kweli si kweli.
0 Reactions
6 Replies
760 Views
Ikasokotwa bonge la bangi kama la Bob Marley baadae ikawashwa, nikasikia mmoja wao anasema kwa sauti kubwa kuwa Mwenge huwa hauruki kijiji. Basi nikajisemea moyoni leo ndio arobaini yangu imefika...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu sina maneno leo kuna mtoto mmoja hivi nilikuwa namfukuzia na alikuwa ananikazia sana, sasa leo katimba hapa gheto muda si mrefu Namyonyoa. Nikimaliza kazi nitakuja na update. Cc Zero IQ
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wengine ( nami nikiwemo ) huwa naingia hasa Facebook kwa Kazi Maalum tu ya Kutongoza Wanawake ili niburudike ( nistarehe ) nao Kingono tu pekee kwani hiyo ndiyo Raha yangu hapa Maishani kwakuwa...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Akiwa mama ana mapenzi makubwa kwa watoto wake hususani wa kiume. Hapendi kuona watoto wake wakipata shida.Hujitaidi kuhakikisha kuwa watoto wanakuwa na furaha kwa kadiri atakavyoweza.Upendo...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Ukimpenda Demu halafu ukakuta ana marafiki wawili ama watatu cha kufanya usimtongoze kwanza yeye! Jifanye wewe ni gentleman kwa marafiki zake hata kama kiukweli sio maana marafiki zake wakikuona...
10 Reactions
55 Replies
6K Views
Hi, wana JF. Zawadi super kwa rafiki yangu wakike niishara tosha for me best signal yakuonesha upendo wangu kwake japo majukum yanambana anakua hana time yakutembea ili niweze kumwambia yamoyoni...
19 Reactions
138 Replies
11K Views
Wakuu habari za saa hizi Kama kichwa cha habari kinavyosema wanawake wengi sana siku hizi wanacheza michezo ili hali hawana kazi ya kuwaingizia kipato. Usiseme nimejuaje ila ukweli ndo huo. Mimi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ungependa kuoa/kuolewa na mtu mwenye mwonekano na tabia kama za kaka/dada yako?
0 Reactions
6 Replies
876 Views
Ni sawa kipind hichi cha maisha wanaume nao wana ile tabia ya kutaka mwanamke ambaye kimsingi nae ni mchakarikaji ili msaidie ilo ni sawa, ila mambo kama yamebadilika wanaume wamekua wavivu...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
​​Kama kuna mtaalamu wa maswala ya mapenzi na ndoa naomba anisaidie. Je nini siri ya mafanikio katika ndoa wakati mke hupenda pia wanawake?. Kwa ufupi: Nimekuwa katika mahusiano...
0 Reactions
108 Replies
14K Views
Sina maneno mengi.video inaongea naongea.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwani kuna ubaya gani kufanya kitu upendacho baada ya kitimiza kazi uliyopewa na boss wako kwa 100%.. Kuview adults material kazini ichukuliwe kama hobby tu ya mtu kama vile kucheza games.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Yaani barabarani wanaume wanadrive slow motion hawataki kufika majumbani mwao wanaongea tu na michepuko Tutawagonga sisi mfyuuu Ngoja niweke picha
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…