Lovehate
Member
- Apr 26, 2018
- 52
- 75
hasa pale upo na mkeo au mumeo mnaangalia habari yenye visa na mikasa vya kutisha juu ya wanaondoa kupelekea hata kuuana kwa ukatili chanzo wivu wa kimapenzi iwe wa ukweli ama wa kuhisiana tu,mnaendaje kulala?,hamuogopani ? Hafu unaeza ukakuta jana mlikuwa na ugomvi wenye sababu kama hizo.