Fanya hivi ukimpenda Demu mwenye marafiki wengi!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,108
Ukimpenda Demu halafu ukakuta ana marafiki wawili ama watatu cha kufanya usimtongoze kwanza yeye!
Jifanye wewe ni gentleman kwa marafiki zake hata kama kiukweli sio maana marafiki zake wakikuona wewe ni mwanaume mwema hata ukija kumtongoza Demu uliyekusudia unakuwa umejihakikishia asilimia 98% za kukubaliwa.
Asilimia 99.5%ya wanawake duniani kukukataa ama kukubali inategemea na rafiki yake wa karibu atamshauri nini kukuhusu

N.B,kumtongoza mwanamke mwisho wiki moja ikizidi hapo ni maombi ya kazi
 
Hiyo NB yenyewe kabisa hiyo
 
komaa na simu used Tu hii sekta hauiwezi
 
Back
Top Bottom