Mwanamke ni mzuri na mpole akiwa ni mama mzazi.Ni kiumbe hatari akiwa mke na ni hatari zaidi akiwa mke anayemiliki ndoa kupitia cheti cha ndoa.

Pelembe

Member
Jul 17, 2019
9
26
Akiwa mama ana mapenzi makubwa kwa watoto wake hususani wa kiume.
Hapendi kuona watoto wake wakipata shida.Hujitaidi kuhakikisha kuwa watoto wanakuwa na furaha kwa kadiri atakavyoweza.Upendo anaouonesha mama kwa watoto huwa ni wa kweli kiasi kwamba hupelekea watoto kuwa mbali kabisa na baba.
Mwanamke anakuwa tofauti kabisa anapokuwa mke.Anakuwa ni mwanzo wa vurugu ndani ya ndoa,ni chanzo cha mifarakano huku akidai anataka haki sawa.
Ni kinara wa kuonesha kuwa yeye ndiye anayeonewa na wifi wake,shemeji na wakweze.
Miaka ya hivi karibuni wamekuwa ni makahaba wastaarabu waliojificha ndani ya ndoa.
Wamekuwa vinara wa kuleta watoto bandia ndani ya ndoa.
Vijana mnaooa au mnaotarajia kuoa hivi karibuni,jiepusheni kufanya sherehe kubwa na hawa watu hili msije juta huko mbele.Ikiwezekana ishi nae hata miaka kumi kabla hujala kiapo cha ndoa
 
At least now men have started to wake up and realize the truth that women of this generation are the worst set of women since the beginning of humankind.

Ndio maana mimi sasa hivi naanza kuwachukulia wanawake kama wanaume na wanaume kama wanawake.
 
Unamaanisha wewe ni shoga au sijakuelewa?
At least now men have started to wake up and realize the truth that women of this generation are the worst set of women since the beginning of humankind.

Ndio maana mimi sasa hivi naanza kuwachukulia wanawake kama wanaume na wanaume kama wanawake.
 
Baadhi ya mambo uliyoyaandika hata hayaeleweki, unaonekana ushavurugwa kiakili na hawa viumbe. Ni maeneo gani hayo hapa bongo utakaa na mwanamke miaka 10 kabla ya kumuoa? au ndo misukule inaonekana usiku tu.
 
Mbona wengi tu wamefanya hivyo ,kama vile Niger Jay n.k
 
Back
Top Bottom