Za jioni wadau! Ni jirani yangu huyu single mama. Tuna kawaida ya kuonana usubuhi anapoondoka maana gari yake anaipaki katikati ya nyumba anayoishi yeye na ninayoishi mimi ingawa hii gari sijawahi...
Mwanasaikolojia mmoja ( jina nalihifadhi ) amethibitisha ' Kitaalam ' kabisa kwamba Wazazi wengi wanaopenda Kufanya Ngono upenuni ( sehemu ya wazi ) huku wakiwa wanaonana Maumbile yao ya Uzazi...
Habari wana! Nimepitia mahusiano mengi lkn kitu ambacho kinakuwa kero kwangu ni hili suala la wivu. Mwanamke wangu ambaye nilifanya commitment naye alikuwa na wivu hatari kiasi hata ndugu akiniona...
Alikua ni binti mrembo sana kwa sura rangi ya maji ya kunde, sura nzuuri tu sikuona dosari yoyote ile.
Hata umbile lake pia lilikua ni zuri kweli kuanzia needle, kiuno pale kati, bastola na mabom...
Ukiwa unamtafuta mtu, say private message au ukifungua tu uzi na kukutana na ujumbe wa 'NO PERMISSION TO ACCESS' hua ina maaana gani, AU HUA NI UZI WA WATEULE WACHACHE?
Sisi wanaume Kama tunataka Wanawake waache kutuomba kile ambacho Baba zao wameshindwa kuwapa. Na sisi tuache kabisa kuwaomba kile ambacho mama zetu hawawezi kutupa.
Au sio.
Poleni na harakati za Ujenzi wa Familia na Taifa Wananzengo...Nawasalimu nyote.
Kama Mada inavyosomeka hapo, nimekuwa najiuliza swali hili. Kuna uhusiano gani kati ya Tohara na Nuksi? Ni dhana...
Wakuu; Ama hakika Mungu anajua kuumba... Naogopa kusema kuna watu
Amewapendelea lakini nisema tu kuna aliowapa zaidi kuliko wengine.
Nilikuja huku kijijini lushoto ndani ndani kumsindikiza Rafiki...
Habari ,natafuta mke wakuoa awe na sifa zifuatazo.
1: Awe na elimu Kwanzia kidato cha 4 na kuendelea,
2: Awe anajitambua
3: Awe anaweza kuongea kiingereza
4: Awe anajua kupika na msafi
5...
Nitaendelea kuyaweka wazi baadhi ya Mambo ambayo yanakera sana kwa wanawake ambao ni hopeless. Mimi nitasema ili wajifunze. Najua kuna watakaokwazika but later on they will thank me.
Kama unataka...
Huyu bi mkubwa Ana umri wa miaka 42,
Nilianza kujuana nae hapa kiwandani kwangu kwa sababu alikuwa anakuja kununua kiepe kila mara,
Kiukweli alikuwa ni mteja wangu wa kudumu kufikia atua ya kuwa...
Habar zenu wakuu, nimaimani wote mko na afya njema, wakuu kila mwanamke ninayekutananae mitaani na kumtongoza ni barmade hii nagundua baada ya siku tatu au nne baada ya kunikubalia, kuna wengine...
Habari za jumapili ndugu zangu.
Niende moja kwa moja kwenye mada,Ndugu zangu nahitaji msichana yeyote atakaye kuwa tiyari kunizalia mtoto kwa mkataba kuwa anipe huyo mtoto baada ya kufikisha miaka...
Wanaume mpo?!!! Huu uzi kwa ajil yetu sisi. Zama zmebadilika sasa. Ni marufuku kumpa pesa mwanamke ambaye huna malengo naye hayo ni matumizi mabaya ya pesa tena kwa kiwango cha lami ni bora hzo...
JE UNA MTOTO MWENYE KUPENDA KUNYONYA KIDOLE?
• Kunyonya kidole ni sehemu ya mtoto kujitafutia furaha na hamasa, kujibembeleza alale, kujipooza nafsi anapopitia kashkash
• Hali hii haina madhara...