Nimeachwa na hisia mchanganyiko na huyu mrembo

Daktari wa minyoo

Daktari wa minyoo

Senior Member
May 15, 2019
120
250
Alikua ni binti mrembo sana kwa sura rangi ya maji ya kunde, sura nzuuri tu sikuona dosari yoyote ile.

Hata umbile lake pia lilikua ni zuri kweli kuanzia needle, kiuno pale kati, bastola na mabom kama yote vile, nywele low cut, so gharama za kwenda saluni naona kwake sio kizingiti.

Nilikua nasita muda wote nimfate walau hata tufahamiane, ama lah!

Shida ilikua tu kwenye ile miguu (makanyagio hasahasa) yani kusema kweli waweza sema ameazimwa na kiboko make ilikua kama ya alien flani hv kutoka SAYARI nyingiiine kabisa tena ukijumlisha na vile vijisendo alivyovaa, vilivyo utafikiri bubble gum.

Kwakweli mpaka leo hii nusu ya nafsi yangu inanilaumu kuacha mtoto aniponyoke bila hata kumwambia "mambo"
Wakati huo huo picha za ile miguu zimeitawala nusu ya nafsi yangu na kuona ni uamuzi sahihi kabisa hata kutomsemesha yule bibie.
 
chuma cha mjerumani

chuma cha mjerumani

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
7,954
2,000
hiii nayo ni thread.
 
Jang-Bogo

Jang-Bogo

JF-Expert Member
Nov 7, 2018
2,492
2,000
wauswazi kakupahawisha
Hata mm niliwaza hiv hiv kaka.jamii forum mpaka uswahil kumbe inawatumiaji eeh!!
Uzur nimeish tandika zaman sana sasa hiz ni type za kiswaz swaz hasa hivyo vi slipper alivyovaa ni full uswaz.. hapo hana tabu mwenyewe anaenda mjin!!!!!!
 
Daktari wa minyoo

Daktari wa minyoo

Senior Member
May 15, 2019
120
250
Hata mm niliwaza hiv hiv kaka.jamii forum mpaka uswahil kumbe inawatumiaji eeh!!
Uzur nimeish tandika zaman sana sasa hiz ni type za kiswaz swaz hasa hivyo vi slipper alivyovaa ni full uswaz.. hapo hana tabu mwenyewe anaenda mjin!!!!!!
Em tuanze kwanza we makazi yako kabisa ni wapi hapa Dar?!
 
Rhz4567

Rhz4567

JF-Expert Member
Mar 16, 2018
1,693
2,000
Hata mm niliwaza hiv hiv kaka.jamii forum mpaka uswahil kumbe inawatumiaji eeh!!
Uzur nimeish tandika zaman sana sasa hiz ni type za kiswaz swaz hasa hivyo vi slipper alivyovaa ni full uswaz.. hapo hana tabu mwenyewe anaenda mjin!!!!!!
Siyo uswazi tu
Wengine Sisi tunakaa vijijini ndanindani Sana kushinda nanjilinji
 
Zesh

Zesh

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
14,463
2,000
Weka miguu yako tuone,..... Ukute wewe hapo ulipo una mikasoro kibao ila Umekuja humu kumnanga mdada wa watu....
 
Top Bottom