Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za wakati wakuu... Sijui yupo sahihi huyu mwananzengo?
2 Reactions
8 Replies
1K Views
''If a man must have a good job, car and a house before marriage.. What must a woman have before marriage?? I'm waiting'' Robert Mugabe Hilarious Quotes
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wadau! Jana jioni nimerudi Kwa mbwembwe nyumbani baada ya kupokea laki kadhaa toka kwa boss wangu. Nikamuomba wife anifanyie massage, nikampa Tsh. 50,000. Wacha nifaidi, kumbe wanafanya...
8 Reactions
24 Replies
5K Views
Wanawake wenzangu, kila siku napenda kuwaweka wazi mambo muhimu sana katika mahusiano na ndoa zetu. Leo nataka nikukumbushe tena jambo hili. Kama unaona ndoa au mapenzi yako yanayumba yumba...
39 Reactions
495 Replies
25K Views
Iwe isiwe nataka kuoa mwanamke msomi; mwanamke anayejitambua asiyepelekwa pelekwa tu kama kondoo apelekwavyo machinjioni. Na ikiwezekana atoke familia inayojiweza kiuchumi ili nipate msaidizi...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari wanajamvi? Sisi tuliopo katika ndoa tuna changamoto nyingi sana zinazotukabili ambazo baadhi husababisha ndoa kuvunjika. Naona itakaa poa kama sisi tulio katika ndoa tukajadiliana, kupeana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu, Hivi mtt wa kiume hadeki choo au bafu? kuna ubaya mtt wa kiume akijifundisha kazi ndogo ndogo za nyumban eti?. Huyu mdg wangu wa kiume yupo likizo, kutwaa anashika simu ana groups...
5 Reactions
57 Replies
5K Views
Kwa mahusiano yasiyo rasmi(Bf &Gf) wanaume tunachangia sana in unfair way, Imagine lengo lengo ni kumaintain relationship yenu ikue na mpeane raha,pesa ya kununua nguo/simu unampa wewe,vocha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Wana jf mu wazima humu? Leo kimenitokea kisa ambacho nafikiri ni muhimu kukijadili ili wengine wajifunze kupitia mimi au kwa wale wenye busara basi wanaweza kufunguka wapi mimi nilikosea ili nami...
11 Reactions
130 Replies
11K Views
*TOFAUTI YA MUME MWENYE MKE MMOJA NA MUME MWENYE MKE ZAIDI YA MMOJA* 1. Mume mwenye mke mmoja huwa hana uwezo mkubwa wa kufanya tendo la ndoa, wakati mwenye mke zaidi ya mmoja huongezeka nguvu za...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
I need some girls wanaopenda kuchat as just a friendly check m whatsupp +255656830740
0 Reactions
0 Replies
634 Views
Hii snapchat ina filter Flan ivi amazing,basi watoto wa kike wa zama izi hutumia those filter kutuvutia[emoji39]. But ukweli unabaki pale pale hawa wanawake wanaotumia picha za snapchat ni...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
HI guys ni yule yule baba ntilie wa mwendo kasi natafuta mrembo wa kwenda naye hotel moja kali kuspend vigezo asiwe mchoyo ,ngorognoro au selous kwa wiki moja kisha tunarudi kila mtu na zake...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Jamani wote tunajua kwamba ni kwa uwezo wa Mungu pekee ndio analeta aina ya mtoto lakini pia kuna vitabu vimeelezea uwezekano wa kupata aina ya mtoto (kwa uwezo wa Mungu) kwa kufuata taratibu hizo...
7 Reactions
108 Replies
85K Views
Ninauliza tu kwa wale wengi wasio wa Dsm, yaani wanaume na wanawake wa mikoani, Je Mwanaume akikuambia anatokea Dar unapata taswira gani? Karibu.
1 Reactions
54 Replies
5K Views
Kama mnavyojua wakuu kwamba mwanaume kila siku ni muwindaji na hasa akiwa hana ndoa. Hapa simaanishi kuwinda swala bila shaka naeleweka vyema! Basi bwana.... Wiki iliyopita nikiwa kwenye mishe...
5 Reactions
45 Replies
5K Views
Habari za asubuhi wakuu, kama kichwa cha Uzi kinavoeleza nowadays wakuu nimepoteza sana joto langu la mwili kama mwanamke, mbaya zaidi mume wangu anaonekana anaichukia hii hali maana utaskia...
4 Reactions
103 Replies
10K Views
HABARINI za kazi wapenzi .. kuna rafiki yangu anatafuta (matured women )mwanamke mwenye umri wake kidogo( for no string attached) above 34 and 50 asiwe mke wa mtu labda awe single mother tu yeye...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wadau, Leo naleta hii nondo makinikeni 1. Anamkomoa mumewe 2. Analala mapema kabla ya mumewe 3. Anachelewa kuamka kabla ya mumewe 4. Mbishi, anahisi kuonewa muda wote 5. Anadhani kumnyima...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Huyu demu nilifanya nae mapenzi zaidi ya mara 7 ndani ya mwezi mmoja tu, siku zote hizo sikuwahi kutumia kinga, Tangu nifanye nae kile kipindi chake cha kuingia period kilipofika zilipita siku 6...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…