Kaingia Period lakini bado hajielewi

Kaingia Period lakini bado hajielewi

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,985
Reaction score
25,200
Huyu demu nilifanya nae mapenzi zaidi ya mara 7 ndani ya mwezi mmoja tu, siku zote hizo sikuwahi kutumia kinga,

Tangu nifanye nae kile kipindi chake cha kuingia period kilipofika zilipita siku 6 bila kuziona siku zake, jana alinipigia simu kwamba kaingia period,
Lakini leo hii Asubuhi kanitext kwamba period yake haielewi jana damu zilitoka kidogo na leo hamna kitu, yaani hakuna chochote kinachoendelea,

Wakuu kunani.

IMG_20190802_090713_548.jpeg

Cc Zero IQ
 
Wewe lengo lako nini apate mimba au asipate? U need further waitin ndo utajua matokeo
 
Huyu demu nilifanya nae mapenzi zaidi ya mara 7 ndani ya mwezi mmoja tu, siku zote hizo sikuwahi kutumia kinga,

Tangu nifanye nae kile kipindi chake cha kuingia period kilipofika zilipita siku 6 bila kuziona siku zake, jana alinipigia simu kwamba kaingia period,
Lakini leo hii Asubuhi kanitext kwamba period yake haielewi jana damu zilitoka kidogo na leo hamna kitu, yaani hakuna chochote kinachoendelea,

Wakuu kunani.

View attachment 1170109

Cc Zero IQ
Ndio tatizo kutembea na watoto wa nursery
 
Hakuna SMS naogopa km hiyo, na hukuwa umejipanga ndo utaimba hallelujah
 
Ndio tatizo kutembea na watoto wa nursery
sasa hapo mnapochati mwanamke ni yupi na mwanaume ni yupi,natamani mwezi wa kumi ufike muende vyuoni muwe bize na course work pengine hamtapata muda wa kusogoa humu
 
Huyo ndio Zero IQ siku zote anakuja na topiki za kabila hizo wala hasomi chuo
 
Hahahahaha kweli wewe ni Zero IQ Wanawake wote hao bado tu hutumii kinga? Manake nyuzi zako zote ni kuhusu Wanawake tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom