Wanume tuwe makini na Wanawake waotumia snapchart

DAD'S SON

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2015
Posts
392
Reaction score
466
Hii snapchat ina filter Flan ivi amazing,basi watoto wa kike wa zama izi hutumia those filter kutuvutia[emoji39].
But ukweli unabaki pale pale hawa wanawake wanaotumia picha za snapchat ni kuwaogopa sana sana kwani ukikikutana nae heeeeeeheeee unaweza jikuta wewe ndo Mrembo kuliko hata uyo Mrembo(miss snapchat).
My friend this is according to my experience sio story za kalimakonga wala Halfu holela holela zile story za mzee Abunuasi.
Kidume unajikoki na silaha za kutosha from the bottom to the top(pamba kali) unajua unaenda kukutana na the most beautiful woman in the world,doh! Kumbe ni average woman....snapchat hiiiii[emoji51][emoji51][emoji27]

HITIMISHO:wanawake muwe serious kidogo hata siku moja moja jmn mnatupotezea nauli na muda pia.
 
Ok Ngoja tuingie kwenye kikao kwanza
tapatalk_1555696520907.jpeg
 
Mkuu hayo mambo ya kufukuzia demu kwa picha yalishapitwa na wakati kitambo sana asee
 
Sawa baharia ila snapchat inatusaidia kidogo tunaonekana at least[emoji4]
 
Bro usiwe nyuma ya globalization,mtoto anakufuta dm pale insta mnachat mara mnajikuta mnadate mara paap mtoto anatak muonane sasa unafanyaje hapo mkuu.
Note umekutana nae insta unafanyaj hapo ebu nipe jibu
Mkuu hayo mambo ya kufukuzia demu kwa picha yalishapitwa na wakati kitambo sana asee
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu muwe na huruma hata kidogo tunachoma nauli,mafuta ya kupaka,maji ya kuoga,perfume,unit za umeme kwa kupiga pasi na muda pia.
Sawa baharia ila snapchat inatusaidia kidogo tunaonekana at least[emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ebu muwe na huruma hata kidogo tunachoma nauli,mafuta ya kupaka,maji ya kuoga,perfume,unit za umeme kwa kupiga pasi na muda pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mnapenda wenyewe
 
Manchester United we,sisi tunadanganyika na udanganyifu wenu wa kitekinolojia but deep down tunapenda uwe real,izo selfie mnazopiga na kuzifuta ndo wewe uyo na ndo sisi tunapenda[emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]selfie ninayopiga na kufuta nikikutumia unakimbia mwenyewe. Wengine tuna sura za babu zetu lol[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23] doh what a waste....jamii hii ni noma sasa mm ntakuwa nadate na picha tu jmn si lazima tuonane nione how many selfies u used to delete,ambazo ulikuwa ndo wewe wewe,yani nikijua hukuwa kwenye picha na ninachokiona sio asee nakupiga TUITION ya masaa 8 uache ujinga wa kusumbua watu wenye ndevu zetu kufuata watu ambao sio wao

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kutafuta watu ambao sio wao

Ila tbh snapchat kwangu ni kujifurahisha tu siwezi post au kumtumia mtu picha ya snapchat maana najua if ikitokea tukakutana wallah atakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nakuombea uwe ivyo ivyo,kwani sura ya babu yako nayo ni sura[emoji1][emoji1].it cost 0$ kushow your real face ooo,tumechoka kuna pilau kwa picha then baadae unakute kande kwa uhalisia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti kutafuta watu ambao sio wao

Ila tbh snapchat kwangu ni kujifurahisha tu siwezi post au kumtumia mtu picha ya snapchat maana najua if ikitokea tukakutana wallah atakimbia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Naunga Hoja mkono...sijasoma maelezo TITLE inatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom