me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Habari za asubuhi wakuu, kama kichwa cha Uzi kinavoeleza nowadays wakuu nimepoteza sana joto langu la mwili kama mwanamke, mbaya zaidi mume wangu anaonekana anaichukia hii hali maana utaskia anasema" mke wangu mbona umekuwa wa baridi hivo?" Nashindwa kuelewa wakuu, nisaidie hata kwa mawazo ni nini sababu ya hili tatizo na nifanye nn ili kurudisha joto langu la mwili..Asante wakuu nasubiri Michango yenu