Mwanaume Akikuambia anatokea Dar unapata taswira gani?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
26,096
34,025
Ninauliza tu kwa wale wengi wasio wa Dsm, yaani wanaume na wanawake wa mikoani, Je Mwanaume akikuambia anatokea Dar unapata taswira gani?

Karibu.
 
Ninauliza tu kwa wale wengi wasio wa Dsm, yaani wanaume na wanawake wa mikoani, Je Mwanaume akikuambia anatokea Dar unapata taswira gani?

Karibu.
.
IMG-20190731-WA0212.jpeg
 
ni ma role model wa nchi...

yani ikitokea kenya wakisema tunataka wanaume kutoka Tz watakaonda ni wanaume wa Dar .

Hatuwezi kuchukua mtu wa Nangurukuru huko au msamvu
 
Back
Top Bottom