Habar za wakati huu ndugu wanajukwaa,sote tunafaham hali iliyopo kwenye jamii yetu ya Kitanzania na Duniani kote
Wapo ndugu zetu,jamaa zetu,wadogo zetu,kaka zetu,Mama zetu,jirani zetu,wajomba zetu...
Sisi wengine huku ughaibuni idi imetukuta na upepo mkali na dalili ya mvua kubwa, Watabiri wa hali ya hewa wametuonya ni bora kubaki nyumbani kama huna shughuli muhimu ya kufanya huko nje. Sasa...
Wakati mnaanza mahusiano yenu mlikubaliana iwe siri kubwa sana,asijue mtu mwingine yeyote isipokuwa mtandao na Mungu peke yake,mliamua kufanya hivyo kwasababu mahusiano yenu yangejulikana...
Hivi kwanini unakuta wanaume ukikaa naohupenda kuongelea debate za ngono??
Wanawake wenye tako wakipita ndio shida kabisa kwanini lakini badala yakuwaza vitu positive
uzi huu ni mahususi maana thread za wapendao kwa kipindi hiki cha valentine zimezidi sana. Sijui wanaturingishia! ENWEI: itakuwa labda mapenzi yamewanogea (kwa ambao hamyajui yalivyo...
assalam wanajamvi!
.
.
kuna hili swala la uke mnato au uke mpana. hivi kuna uhalisia kuwa uke mpana
unatokana na mwanamke kufanya au kuingiliwa sana kimapenzi?
Habari zenu ndugu zangu wa hiari.
Leo naamua kuandika uzi huu ikiwa kama kushauri tu Kwa watu ambao wako au wanatarajia kuingia katika ndoa.
Watu wengi sikuhizi wanasema ndoa hazina raha na wala...
Habari zenu wakuu, kuna jamaa yangu mmoja tuko jirani nae ametokea kumpenda dada mmoja muuza duka, lakini anashindwa kufunguka kwake kila akimuona hata wakikutana njiani hakuna chochote...
Jamani mi mgeni humu natafuta mchumba Arusha mjini mweupe mnene kias mrefu,awe nakazi au hana its ok mi mwenyew nimejiandaa nipo serious sitanii,umri wangu 33 years elimu dip Nina ksz ya kipato kidogo
FINAL UPDATE.
Nimeelemewa, nawashukuru sana kwa kuchukua mda wenu na kusoma bandiko langu.
PM zimekuwa nyingi mnoooo, nashindwa hata nianzie wapi, I didn't see this coming at all. Nilijua...
Habarini!
Binti kamaliza kidato cha NNE 2017. Kakosa Wa kumuendeleza..ni yatima..ana kiu ya kusoma sn sn. Anakata tamaa ya kusaidiwa. Anamvaa mtu flan mwenye vyake na wake pia na watoto si chin ya...
Umeolewa na mume wako mpenzi, mmebarikiwa kupata watoto, kumbe mume ana nyumba ndogo na huko amepata watoto na anawahudumia vizuri tu.
Siku imetokea ameaga dunia, msibani wakati mke anamajonzi ya...
Ndoto ya babu marehemu..ujumbe kupitia mzimu wake! Taarifa ya ndoto maono kuhusu yuti yai ya bulangata
Kwamba babu alikuwa na watoto wengine wane... Hawa ni nje ya ndoa kwa mila na tamaduni za...
Katika mapenzi kila mmoja amekuwa na tabia ya aina fulani lakini kwa wale wanaoamini masuala ya nyota wanasema kuwa nyota hueleza tabia za mtu katika maisha...
Ni manengelo
Anaonekana genius sana na mchakarikaji. Ana akili ya kutafuta pesa. Ni mtu mjanja sana.
Sasa huyu dada/mama namkubali sana.
Kama hajaolewa, aisee nitafanya kila liwezekanalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.