Idi njema wakuu

Idi njema wakuu

Dharra

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2017
Posts
1,661
Reaction score
2,972
Sisi wengine huku ughaibuni idi imetukuta na upepo mkali na dalili ya mvua kubwa, Watabiri wa hali ya hewa wametuonya ni bora kubaki nyumbani kama huna shughuli muhimu ya kufanya huko nje. Sasa hapa tumejifungia tu ndani tukiangalia TV. Wewe upo wapi leo? nakukumbusha tu kuweka Akiba.
chekunywaaa.jpg
 
Msinywe sana mkasahau kurudi nyumbani
 
Sisi wengine huku ughaibuni idi imetukuta na upepo mkali na dalili ya mvua kubwa, Watabiri wa hali ya hewa wametuonya ni bora kubaki nyumbani kama huna shughuli muhimu ya kufanya huko nje. Sasa hapa tumejifungia tu ndani tukiangalia TV. Wewe upo wapi leo? nakukumbusha tu kuweka Akiba.
View attachment 1179533
Qumeeer makey,,, sio kwa bi@ hizo POTI
 
Back
Top Bottom